Vigogo Chadema wahamia CCM

Vigogo Chadema wahamia CCM

Nyie wote wawili ni engine nyuma, lazima muwe na mitazamo sawa. You looks stupid. Hovyooo...

Hapa kazi ipo

alafu eti unateuliwa kuwa mgombea wa CDM tena ubunge,wakati hoja zako wewe ni matusi,huwezi kujenga hoja wala kutetea hoja na huwezi kupambana kwa hoja,sijui tunatengeneza viongozi wa namna gani nchi hii?
 
Mtoa mada acha ushabiki hivi unajua maana ya kigogo, ukisema vigogo CDM wahamia CCM unatakiwa umananishe viongozi makao mkuu na tena wenye influence.

unachekesha kweli,nimekuelewa,kumbe katibu wa ccm wa kata ya kibaha ni kigogo lakini MWENYEKITI WA CHADEMA WA WILAYA YA NACHINGWEA NI VIJITI
 
Huu upuuzi mwingine unakera.Hii habari imetolewa hapa wiki tatu zilizopita.Leo gazeti la propaganda la ccm linaona ndio habari kuu.Huu ni upofu.

We ndio kiwewe kabisa,mbona w siku yako ya kuzaliwa unaikumbuka......tunaangalia impact sio ulete pumba zako apa.
 
KATUBU wa CCM wa KATA ni MUHIMU kuliko MWENYEKITI WA CHADEMA WA WILAYA.
 
Huu upuuzi mwingine unakera.Hii habari imetolewa hapa wiki tatu zilizopita.Leo gazeti la propaganda la ccm linaona ndio habari kuu.Huu ni upofu.

Usishangae mkuu hii habari watairudia mpaka huu mwaka uishe,hawana jipya.
 
sjashangaa kitu hapo,hata wana wa israel walimwomba mussa awarudishe misri kwa yule pharao,na bado mamluki ni wengi tu na wote lazima wataridi .
 
ni vyema mkafuatilia na kujuwa nini tatizo,kuliko kupiga kelele bila kuweka mambo sawa,
Wewe unaona kuna tatizo la kufuatilwa hapo?Mtu alipewa sahani ya wali akalidhika na kusalimisha kadi, sasa hapo cha kufuatilia ni nini? Tatizo lipo kwako unaye leta upupu wako hapa na kutulazimisha tukuamini kama una akili kumbe ni mtupu.
 
ukisikia majirani wanakusema vibaya juu ya tabia na mwenendo wako,rudi haraka na uanze kujirekebisha,sio unatokwa na povu na kuanza kuwashambulia majirani zako,

Fagia chumbani kwako kwanza kabla hujaenda kusimamia usafi kwa jirani,
kama ubongo unafanya kazi utanielewa la sivyo litakuwa ni lile janga la elimu yetu

kufauru huku ukiwa hujui kusoma wala kuandika
Sasa kwa ujinga unaouandika hapa unategemea nani atakusifia? Wewe ndie unayedhani umefaulu, kumbe unasifia kinyesi!
 
Hii habari ilishadadavuliwa vya kutosha hapa jukwaani!
 
Hapa kazi ipo

alafu eti unateuliwa kuwa mgombea wa CDM tena ubunge,wakati hoja zako wewe ni matusi,huwezi kujenga hoja wala kutetea hoja na huwezi kupambana kwa hoja,sijui tunatengeneza viongozi wa namna gani nchi hii?
Hoja uliyoitoa ni ipi?
 
Magwanda bana wakati mwingine mnakosa uzalendo kabisa mnaposhikwa pabaya
Hivi hamuwezi kujadili kwanini wameondoka badala ya kuanza kupotezea kwa tafsiri za vigogo
Au habari nzuri ingekuwa ya Tanzania daima ikisema fulani wa CDM aisambaratisha CCM sehemu fulani?
Hapo mgeunga hoja mkono page zaidi ya 10
 
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Wilaya ya Nachingwea, mkoani Lindi kimepata pigo la kuondokewa na viongozi wake wawili, akiwemo Mwenyekiti wa Wilaya,Hassani Mkopi na katibu wake,Saadati Kamalu.

Viongozi ambao wameachia ngazi na kujiunga na CCM kwa madai ya kushindwa kukitumikia vema chama hicho tangu walivyokabidhiwa madaraka kwa zaidi ya mwaka mmoja uliopita.

Katibu wa muda wa Chadema, Jordani Membe alisema juzi kuwa Mkopi alijiondoa Chadema na kujiunga na CCM mwishoni mwa mwezi uliopita wakati wa mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal katika Kijiji cha Chiumbati, Kata ya Naipanga.

“Tukiwa katika mkutano huo katika Kijiji cha Chiumbati, ghafla mwenzetu aliamua kujivua gamba la Chadema na kulivaa lile la CCM kwa kumpatia Dk. Bilal kadi yetu ya Chadema,” alisema Membe.

“Katibu wetu Kamalu amedai ameamua kujiuzulu baada ya kushindwa kukitumikia vema
chama kama alivyokabidhiwa na wanachama wakati wa uchaguzi uliopita,” alisema akinukuu kauli yake.

Kutokana na kujiuzulu kwa Kamalu, Kamati ya Utendaji kwa kushirikiana na Baraza la Wazee wa Chadema waliamua kufanya uteuzi mdogo wa kuziba nafasi hiyo, ambapo Diwani wa Kata ya Nkotokuyana, Likolovero Hassani alichaguliwa nafasi ya uenyekiti, na yeye Membe aliteuliwa kushika nafasi ya ukatibu wa muda.

Membe alisema viongozi hao watashikilia nafasi hizo hadi Uchaguzi Mkuu wa Chadema utakapofanyika mwaka 2013, badala ya 2014 kutokana na mabadiliko mafupi yaliyofanyika kwa lengo la kujiandaa na uchaguzi wa Serikali za vijiji, vitongoji na mitaa

HABARILEO

Naelewa mashabiki wenzangu hampendi kuona hii,lakini ndio uhuru wa habari ulivyo

Mekumbuka leo?? Nachingwea bado hakujajengeka kisiasa hivyo Shetani bado ana nguvu kuwateka wasio wake.
 
Thinking low poor man

Tangu umejiingiza ktk mada hii huna ulichochangia,zaidi ya kuweka lugha isiyo jenga,jaribu basi kuumba herufi,andika hata sentensi tuisome na tukakuelewa,
sasa kama tuna kuteuwa uwe mwakilishi wetu utakuwa na la kusema kweli? maana hapa na mda huu ndio wa kujinoa na kujifunza eti.
 
Hicho ndio cheo gani, mheshiwa Rais wa migomo

fikra hasi na mgando,na upo uwezekano kuwa huna kadi ya CDM wala bendera,umekuwa vuvuzela lisilo na madhara na hata ktk daftari la wapiga kura haumo,lakini ndani ya JF kelele kibao tena zisizo eleweka kama bubu vile mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh,lalalalalalala,Hueleweki mkuu
 
Back
Top Bottom