Vigogo Chadema wahamia CCM

magwanda ya mgambo wamechoshwa nayo ukizingatia joto nalo ni kali mno,teh teh teh.Angalieni mapovu yasiwatoke
 
Umekosa kazi ya kufanya unaleta upupu hapa

tatizo unataka habari itakayokufurahisha tuuuuuu,ila habari ambazo hazina mwitikio chanya hutaki kuzisikia

nyie ndio viongozi wa baadae,ambao mtakuwa mnapenda kuyasikia mazuri tu na yale yanayokufarahisha moyoni kwako,ila yale mabaya yatakayokuwa yanatendeka hutotaka kuyasikia wala kutafuta njia za kuyatatua
tutafika kweli tukiwa na mawaziri 10 wenye mawazo kama yako?
 
Tunapambana na wewe kwanza mleta upupu jamvini

ukisikia majirani wanakusema vibaya juu ya tabia na mwenendo wako,rudi haraka na uanze kujirekebisha,sio unatokwa na povu na kuanza kuwashambulia majirani zako,

Fagia chumbani kwako kwanza kabla hujaenda kusimamia usafi kwa jirani,
kama ubongo unafanya kazi utanielewa la sivyo litakuwa ni lile janga la elimu yetu

kufauru huku ukiwa hujui kusoma wala kuandika
 
Hao ndo wamerudi kwao, walikua wanafanya kazi ya CCM ndani ya CDM walipoona mambo magumu wameamua kurudi. .....by the way, hivi kila mwanachama ni kigogo? Maana hao jamaa hata siku moja sijawasikia. Sidhani hata kama wamewahi kuwa madiwani.
 
Kuna thread hapa inayohoji wana CDM Kuwa wakali mnapoambiwa utumbo wa chama chenu. Tena mkataka ushahidi mkihoji wapi mmekuwa wakali.. Hapa mtu kapost tu, tena habari ya kweli. Watu wamecharuka na kutoa mapovu. Duh, wapenda amani tunaanza kupata hofu.
 
wanapenda kula wali na nyama tu,siku wakisikia kuna wali na mrenda hawali chakula na hawataki hata kuhoji kwanini ni wali na mrenda
 
Hao ndo wamerudi kwao, walikua wanafanya kazi ya CCM ndani ya CDM walipoona mambo magumu wameamua kurudi. .....by the way, hivi kila mwanachama ni kigogo? Maana hao jamaa hata siku moja sijawasikia. Sidhani hata kama wamewahi kuwa madiwani.

Ukigogo una ngazi mkuu lazima muelewe! Kuna vigogo wa ngazi ya Taifa, vigogo wa ngazi ya Wiliya, vigogo wa ngazi ya Tarafa, Kata na Tawi. Hata balozi wa nyumba kumi ni kigogo wa eneo lake la utawala.
 
wanapenda kula wali na nyama tu,siku wakisikia kuna wali na mrenda hawali chakula na hawataki hata kuhoji kwanini ni wali na mrenda

Halafu mapoyoyo kibao, wanajifanya wasomi kumbe hata maana ya neno KIGOGO kwa maana ya kisiasa hawajui. Wanajua viongozi wa ngazi ya taifa pekee ndiyo vigogo. Hata balozi wa nyumba kumi ni kigogo pia, kigogo wa eneo lake la utawala.
 
Ukigogo una ngazi mkuu lazima muelewe! Kuna vigogo wa ngazi ya Taifa, vigogo wa ngazi ya Wiliya, vigogo wa ngazi ya Tarafa, Kata na Tawi. Hata balozi wa nyumba kumi ni kigogo wa eneo lake la utawala.

Bado tunahitaji elimu,hususani ktk maneno kama haya ya kisiasa

thanks kwa elimu hii
 
kumbe nachingwea! Magamba at work, mtaji wao unazidi kupungua, wasome wanazidi kuongezeka! Lol ccm nawaonea huruma kwa kutegemea wajinga for u to return in power.
 
ni vyema mkafuatilia na kujuwa nini tatizo,kuliko kupiga kelele bila kuweka mambo sawa,

Kwani ukisoma wewe bado hauoni tatzo ni nini?si wamesema wameshindwa kuwajibika,sasa kama hawawezi kuwajibika watakuwaje tena viongozi,CDM inahitaji wapiga kazi ...watu wa hvyo saizi yao ni CCM ambako watu wanakaa kama kijiweni wakisubiri posho za vikao,kwahyo mkuu hapo hata usipovaa miwani bado tatzo utaliona tu...the guys are irresponsible!
 
Back
Top Bottom