Vigogo CHADEMA kizimbani

Kuna mwandishi wa arusha aliniambia huyu mhala anahasira na lema alikuwa best yake tokea kawa mbunge hampigii simu wala hamtafuti kwa hiyo anaandika hivyo kumkomoa lema alegeze uzi kumtafuta
 
tehetehetehe mmmmh! chadema ni chama makini???? aibu hii kwa wana magwanda!

Pole sana ! Mlemgo wa Kati. CDM ni makini sana na hata hao waliotajwa ni wanachama wa kawaida tu si vigogo, pia kuwa na watuhumiwa wawili wa uhalifu hakuondoi umakini wa chama. Nenda mahakamani ukaulize wanaofikishwa mahakamani wamevaa T shirt za kijani ni wangapi kila siku halafu fanya hitimisho kama hicho ndicho kipimo. Jaribu kufikiri zaidi ya hapo!
 
Uandishi wa kishabiki kama huu utaharibu tasnia ya hbr! Kueni makini!
 
Naona wameanza mapema kukusanya hela ya kampeni,hao sio majambazi bali ni kitengo cha kukusanya mapato ya kampeni za chadema. mpaka 2015 sijui ujambazi mgapi mtafanya.watu walisha sema lema jambazi lakini bado mnabisha.
 
Kichwa cha posting hii kinaonyesha bias versus CHADEMA. Kwanza hawa watuhumiwa sio vigogo. Nafasi ya katibu wa Mbunge, na katibu ambaye ameshaachishwa kazi inamfanyaje 'KIGOGO"?
 
Duuh!!!!! Siamini macho yangu; mimi nilikuwa sijui kwa nini CHADEMA wanavaa magwanda; kumbe moja ya kazi ya magwanda hayo ni kwa baadhi ya wanachama kuyatumia kwa kufanya ujambazi. Hii imewatia doa; inabidi mjitakase
 
Inaweza kuwa c kutoipenda CDM bali ukanjanja wa mwandishi na mhariri wake. tasnia ya habari/uandishi sasa hivi inavamiwa sana,kuna vyuo lukuki vimeibuka vya "uandishi wa habari" vinaibua shaka/doubt na ubora wao

Katumwa na magamba kumchafua kamanda Lema
 
jamani Chadema chama makini hata mjaribu kukichafua vp amtaweza..aliekuwa inahusu nini hapo kwenye Habari?..huyu atakuwa mwandishi wa gazeti la UHURU
 
Msimlaumu kwani amesema bavita na sio balaza letu chadema la bavicha ,labda analizungumzia la libya.
 
Wakati mwingine sisi ni wepesi kulaumu tu waandishi, vipi mfumo na sera ya habari inatoa nafasi kuwa na wandishi wenye sifa? Kwa mfano habariLEO ni gazeti la serikali ambalo lilipaswa kuwa mfano kwa media zingine, but ndiyo kamapuni yenye waandishi ambao hanawana taaluma

Mfano aliyeandikia habari hiyo John Mhala ni STD seven alikuwa porter safari hoteli zamani akajiingiza kwenye uandishi miaka ile ya 1990 kwa hiyo huwezi tarajia atafuata maadili wakati hana hata basic knowledge ya journalism
 
naaanza kuogopa na cv za wengineo ! hebu niambie Kikutwa chaKaya nae alikuwa ... Luhanjo... eh na mizengwe ... juha hilo...!
 
wana JF tunaomba tusome kwa makini hii habari hata wa Darasa la tatu hawezi kudanganyika kwanza Anaandika BAVITA Chadema hakuna BAVITA halafu soma Par ya mwisho anasema wanasubiri kusomewa mashitaka wakati mwanzoni kashasema wamesomewa mashitaka. Kwasasa GAMBA inabidi wajue kila njama chafu inaongeza CREDIT kwa CDM, pia wajue kuwa inawezekana pia yakawepo mabaya ndani ya CDM laikini watakapoyasema watu hatutaamini kwani uwongo utapeli umekuwa sehemu ya maisha ya CCM, nadhani kwasasa CCM itumie mbinu nyingine kwa hii ya uwongo CCM imeshahindwa.
 
Duuh!!!!! Siamini macho yangu; mimi nilikuwa sijui kwa nini CHADEMA wanavaa magwanda; kumbe moja ya kazi ya magwanda hayo ni kwa baadhi ya wanachama kuyatumia kwa kufanya ujambazi. Hii imewatia doa; inabidi mjitakase
KOSA MALI PATA AKILI hujachelewa mwombe Mungu akujalie Hekima na Busara nawe .............................
 
Back
Top Bottom