Vigogo Chadema kizimbani

Hiyo haitasaidia kuwasafisha magamba.

kesi kitu cha kawaida hata slaa na mbowe pia wanakesi arusha.pia ni mpk mahakama ithibitishe kua ni wahalifu.acha kuleta jazba kama za kilaza wenu wasira hapa.gamba mkubwa we.

Acha unazi wa kipuuzi Anold Kamunde ni katibu wa BAVITA mkoa wa Arusha Gervas Mgonja alikuwa katibu wa mbunge Arusha G Lema.

wacha kumfariji..... sema anafanya kwa kusikiliza umma umereact vp sio reasoning ya DR. MIHANJO a philosopher @udsm. hajawahi kuamua pasipo kuchukua maoni ya wadau. hawezi kufikiri mpaka tumsaidie

Siku hizi ni rahisi kutetea dhambi kwa mgongo wa CCM ?.

Kama si viongozi wa CDM tuambie ni viongozi wa chama gani na walikuwa karibu na kiongozi gani CDM.

Hapo pekundu inamaana ukiwa karibu na mpiga kura wako hairuhusiwi?

Magwanda wameshikwa pabaya hawana pa kukimbilia.Ngoja niwaandalie juisi ya pilipili.

Wewe lebadudumizi, don't use masaburi to reason. These guys ARE innocent until proved guilty.
The guilty are in jail, unawajua akina Falijara? Hawa ni makada wazuri wa chama cha magamba.

Hiyo haitasaidia kuwasafisha magamba.

kesi kitu cha kawaida hata slaa na mbowe pia wanakesi arusha.pia ni mpk mahakama ithibitishe kua ni wahalifu.acha kuleta jazba kama za kilaza wenu wasira hapa.gamba mkubwa we.

Magamba wanalo wanalo tu.

Kwanza marekebisho kidogo, cdm hakuna VIGOGO, kuna COMRADES, hao vigogo wako CCM. This is another media propaganda aiming @ distortion!

inabidi tubadilike na kufatilia kwa kina habari na sio kufata mkumbo kwa kuwa ni cdm basi hawawezi kuvunja sheria,penye ukweli basi tufate ukweli,,sio uccm na ucdm....

we have "big sots" High rank CCM cadres" ambao wamefilisi nchi hii kwa UFISADI na kuacha mamilioni ya watz hoi wakifa kwa kihoro! why are u not talking of big issues like these! This indicates how u are norrow minded! Discuss Issues and not people!

Mbwe na Slaa nao ni wale wale!
Soon tuataleta ishu zao hapa
Mlesha leta zika dunda....watanzania wa leo siyo wajinga kiasi kwamba wana meza kila unacho walisha.....endeleeni kuwakampenia....poleni magamba company

Ukileta jambo lolote negative hasa linalomhusu Lema lazima utakuwa Ngongo.Makubwa !!!!!!!!!!!!!!!!!
Habari yako Lebadudumizi=Ngongo, mwaka huu kamani kazi unayo...mkuu unajua bei ya sukari........

Nilifikiri ni habari kumbe ni kesi ya vibaka wameiba 1m na vismu viwili!
Tupa kulee

Back
Top Bottom