Vigogo CCM wahojiwa TAKUKURU

Vigogo CCM wahojiwa TAKUKURU

Magufuli aliwahi kesema "mtu unamkamata ledi handed halafu unafanya uchunguzi, uchunguzi wa nini wakati umemkamata LEDI HANDED? Peleka mahakamani akafungwe" Hayo ndio yalikua maneno yake sasa hawa wanao fanya uchunguzi usio isha ndio wanamuangusha magu.
Nao sio wajinga hivyo wawapeleke mahakamani moja kwa moja wao wakale huko mahakamni au magereza? Wewe hujui kipindi cha uchunguzi kinatoa fursa gani?Vogogo wagawane millio tatu kamati nzima waambulie laki ngapi na bado waitwe vigogo?
 
Back
Top Bottom