waOLDmoshi
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 879
- 1,759
Upuuz upi Mkuu?Upuuz acha
kwa sababu kuna watu wanalipwa mshahara kuziongoza.
Site mirrors ni nini mkuu?
Wale watu chini ndiyo wamemdhibiti yule rubani mle ndani asitoke wala kuruka
Kwani zinatembea barabarani?
Hivi kweli ni side Mirrors au sight mirrorsNadhani huwa zinaitwa side mirros kama ulimaanisha za kwenye magari, ila kule Mbeya naona wengi hawatumii d badala yake wanatumia t (Exaud wanaandika Exaut)