Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

Mh. Kucy. Utaratibu ulishatolewa tokea mwaka jana. Mafunzo ya Ualimu wa Shule za Msingi hivi sasa, mlengwa anatakiwa kuwa na Division I, II au III kwa matokeo ya mitihani ya mwaka 2013 kurudi nyuma. Kwa matokeo ya mwaka jana, mlengwa anatakiwa kuwa na Distinction, Merit au Credit na sio Pass.

Ualimu sio kimbilio la waliofeli mitihani hivi sasa.
 
Kama sijakosea mwaka jana nilimsikia Waziri wa Elimu akisema Grade A imefutwa hili likoje???
 
Ni kweli ngazi ya grade A kwa ualimu haipo tena na badala yake DIPLOMA kwa shule za msingi, ADVANCED DIPLOMA na DEGREE kwa sekondari
 
Kwa sasa ualimu wa shule za msingi unatolewa kwa ngazi ya mafunzo ya diploma,vigezo uwe umefaulu masomo ya sayansi lakin kwa masomo ya sanaa(artists) uwe una credit katika kiwango C zisizopungua C nne.
 
mimi nimemaliza kidato cha nne mwaka huu 2016 na ufaulu wangu ni div 2 ya point 20 history C. civics C biology C kiswahili C english B chemia C phycs C geography C na mathe C je naweza kupata nafasi yakujiunga na chuo hicho mambo ya gas
 
Hakuna hyo course kwa level ya diploma
na hata ingekuwepo,nakushauri usome electrical engineering then hzo course za gas uje usome kwa level za juu
 
mimi nimemaliza kidato cha nne mwaka huu 2016 na ufaulu wangu ni div 2 ya point 20 history C. civics C biology C kiswahili C english B chemia C phycs C geography C na mathe C je naweza kupata nafasi yakujiunga na chuo hicho mambo ya gas
Ipo imeanzishwa ndio mwaka wa kwanza
 
jamani naombeni msaada wenu nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nina div 3 point 25 grade za masomo ni:
geo-c bio-c eng-b+
math-b kisw-d hist-c
phy-c chem-d civ-c

Je, naweza kujiunga na chuo cha DIT
(nataka nichukue electronics and telecommunication engineering)
Unapata vizuri tu nenda pale c
 
Habari za kazi wana jamvi ni sifa gani zinazo chukuliwa na NECTA na NACTE kwa ualimu wa certificate na diploma?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom