Boko halal
Senior Member
- May 14, 2014
- 167
- 119
Kura zipi wakati kura za lipumba na slaa hazikufika hata mia saba kunahaja gani ya kuiba sasa.wanausalama wa interahamwe ndio waliiba kura
Mama umeamka kweli hauna kazi tafuta kazi lol shoga wangu utauwa watoto.Tafuta simu za wapiga kura wote waulize kwa nini walishindwa kumchagua slaa na lipumba kwangu mimi ni kwamba hawana sifa za kuwa viongozi wanafaa kuwa matapel na walaghai wa kisiasa.
Tafuta simu za wapiga kura wote waulize kwa nini walishindwa kumchagua slaa na lipumba kwangu mimi ni kwamba hawana sifa za kuwa viongozi wanafaa kuwa matapel na walaghai wa kisiasa.
Kura zipi wakati kura za lipumba na slaa hazikufika hata mia saba kunahaja gani ya kuiba sasa.
Dr slaa alishinda karatu na arusha mjini...sio tanzania.kumbuka hata kwenye jimbo la mbowe jk aliongoza kwa wingi wa kuraWeee!kikwete hakushinda huo uchaguzi,kila kitu kinajulikana,aliyeshinda ni dr slaa!kikwete alisaidiwa na usalama wa taifa,kama alishinda kuhalali kwanini alikuwa anafungasha akimbie nchi?
Maneno ya mkosaji, kujifariji na kuukwepa ukweliZilichakachuliwa ndiyo maana hazikufika we boya!
Lipumba amechuja, slaa ni mbaguzi..wa dini na kabilaWatanganyika naomba kujua vigezo vilivyotumika kumpa kura Kikwete na kuwanyima hao wengine kura kwa sababu kwangu mimi hana kigezo chochote anachowazidi hao eti watanganyika wengine waliangalia nini kumpigia kura Kikwete.
Dada yangu za asubuhi mzee mzima?Kikwete ni diplomat, hana ametulia, busara nyingi na ni mtu wa watu..
Watanganyika naomba kujua vigezo vilivyotumika kumpa kura Kikwete na kuwanyima hao wengine kura kwa sababu kwangu mimi hana kigezo chochote anachowazidi hao eti watanganyika wengine waliangalia nini kumpigia kura Kikwete.
Kikwete ni diplomat, hana ametulia, busara nyingi na ni mtu wa watu..