Vigezo gani vilitumika kumpa Kikwete kura na kuwanyima Lipumba na Slaa?

Boko halal

Senior Member
May 14, 2014
167
119
Watanganyika naomba kujua vigezo vilivyotumika kumpa kura Kikwete na kuwanyima hao wengine kura kwa sababu kwangu mimi hana kigezo chochote anachowazidi hao eti watanganyika wengine waliangalia nini kumpigia kura Kikwete.
 
sura murua!!! tabasam kila mara hata kwenye maafa na rang nzur ya chama chake pia saut nzuli ya mzee wa msitun.
 
Tafuta simu za wapiga kura wote waulize kwa nini walishindwa kumchagua slaa na lipumba kwangu mimi ni kwamba hawana sifa za kuwa viongozi wanafaa kuwa matapel na walaghai wa kisiasa.
 
Sio mporaji wa wake za watu kama dr slaa ana tabia ya kutelekeza familia na kupora wake za watu...rejea ishu ya rose kamili sukum na josephine mushumbusi
 
Tafuta simu za wapiga kura wote waulize kwa nini walishindwa kumchagua slaa na lipumba kwangu mimi ni kwamba hawana sifa za kuwa viongozi wanafaa kuwa matapel na walaghai wa kisiasa.
Mama umeamka kweli hauna kazi tafuta kazi lol shoga wangu utauwa watoto.
 
Tafuta simu za wapiga kura wote waulize kwa nini walishindwa kumchagua slaa na lipumba kwangu mimi ni kwamba hawana sifa za kuwa viongozi wanafaa kuwa matapel na walaghai wa kisiasa.

Weee!kikwete hakushinda huo uchaguzi,kila kitu kinajulikana,aliyeshinda ni dr slaa!kikwete alisaidiwa na usalama wa taifa,kama alishinda kuhalali kwanini alikuwa anafungasha akimbie nchi?
 
Kikwete ni diplomat, hana ametulia, busara nyingi na ni mtu wa watu..
 
Weee!kikwete hakushinda huo uchaguzi,kila kitu kinajulikana,aliyeshinda ni dr slaa!kikwete alisaidiwa na usalama wa taifa,kama alishinda kuhalali kwanini alikuwa anafungasha akimbie nchi?
Dr slaa alishinda karatu na arusha mjini...sio tanzania.kumbuka hata kwenye jimbo la mbowe jk aliongoza kwa wingi wa kura
 
Watanganyika naomba kujua vigezo vilivyotumika kumpa kura Kikwete na kuwanyima hao wengine kura kwa sababu kwangu mimi hana kigezo chochote anachowazidi hao eti watanganyika wengine waliangalia nini kumpigia kura Kikwete.
Lipumba amechuja, slaa ni mbaguzi..wa dini na kabila
 
Handsome, na pia anatoka chama dola ambacho kina mtandao mpaka chini! Pia wapinzani kutojiimarisha mpaka vijijini pia kumechangia sana wagombea wa ccm na hata wasio na sifa kupita bila kupingwa!
 
Watanganyika naomba kujua vigezo vilivyotumika kumpa kura Kikwete na kuwanyima hao wengine kura kwa sababu kwangu mimi hana kigezo chochote anachowazidi hao eti watanganyika wengine waliangalia nini kumpigia kura Kikwete.

Rais halali wa tanzania ni Dr Slaa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom