Vigezo gani hutumika kuchagua air condition?

Vigezo gani hutumika kuchagua air condition?

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2010
Posts
8,084
Reaction score
15,069
Habari wanajamii....

Ningependa kujua huwa mnatumia vigezo gani kuchagua air condition?

1. Je ukubwa wa eneo husika mfano ya chumbani na sebuleni nini tofauti?
2. Eneo husika , je maeneo ya joto na maeneo ya baridi inakuaje?
3. Aina ya madirisha, je madirisha ya nyavu tupu na madirisha ya kufunga na vioo/aluminium inakuaje?

N.k n.k

Asante
 
Back
Top Bottom