Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,654
Wadau habari zenu!
Hii mada ni kutaka kufahamishana juu ya matumizi ya umeme wa vigamuzi vya tv hasa vinavyotumia madishi.
Kwa udadisi niliofanya hivi sasa kwa kingamuzi za DSTV, nimeprove kuwa kinakula umeme tena sana.
Hivi ndivyo nilivyokuja kugundua:
Mwezi june matumizi yangu ya umeme yalikuwa ni unit 28 ( 10,000tsh)+ 14 units ( 5000). Maana yake, nilitumia unit 42 ambazo gharama zake ni elfu 15,000. Mwezi june sikununua kifurushi cha dstv, hivyo bac sikutumia kingamuzi.
Vifaa vyangu vya umeme navyotumia mara kwa mara ni fridge ( mid size), Tv ( 49inch), sony home theatre ( 1000w), kingamuzi cha dstv, juicer na laptop.
Mwez july nilinunua kingamuzi ila cha kushangaza matumizi ya umeme yakawa almost doubled. Mwez july nilitumia units 68. Huu ni umeme wa 25,000
Hii nimefatilia hata miezi ya nyuma na nikagundua inawezekana kingamuz kikawa kinatumia umeme sasa maana miez ambayo situmii huwa silipi zaid ya 15,000 ila nikilipia dstv huwa natumia mpaka 30000 kwa mwezi.
Sijafanya conclusion ya kitaalamu ila ningependa wataalamu tujuzane juu ya matumizi ya umeme wa hivi vingamuzi. Mi naona kwa dstv inakula umeme sana.
Update.
Mpaka sasa nilichogundua ni kuwa kingamuzi pia hula umeme ule ule kinapokuwa kwenye standby mode. Yan inatakiwa kama hakitumiki kizimwe kabisa. Kinapokuwa standby, maana yake kinapokea signal ambavyo inaendelea kula umeme.
Satellite decoders consume even more power. Researchers found thatdecoders use from 11 to 21 watts while switched on and from 11 to 18 watts while switched off – which means satellite decoders use around 130 kWh per year.
#DidYouKnow: TV decoder is your home's second biggest electricity ...