KERO Vifusi vimemwaga Barabara Tegeta kwa Ndevu tangu Desemba 2025 kisha vimetelekezwa

KERO Vifusi vimemwaga Barabara Tegeta kwa Ndevu tangu Desemba 2025 kisha vimetelekezwa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Hapa ni Tegeta kwa Ndevu, hii ni barabara ya kuelekea Chuo cha Mzumbe, sasa hii barabara ilianza kufanyiwa marekebisho tangu Mwaka jana (2025) Mwezi wa Tisa lakini ilipofika Disemba kuelekea Januari 2026 wakamwaga vifusi na tangu hapo hakuna kinachoendelea hadi leo Machi 2026.

1773305621561.jpeg

1773305640411.jpeg

1773305658699.jpeg

photo_2026-03-16_20-11-04.jpg

photo_2026-03-16_20-10-57.jpg
 
Serekareni Pesa hakuna hivyo watu wanabadili vipaumbele.
 
Hawa wakandarasi hawaendi na kasi ya hali ya hewa,naona kuna delay tena huko

Ova
 
Back
Top Bottom