Tethered from gt-i9500 to pc. Vodacom ndo wasimamia show maeneo ya Tabata segerea. Na hapo network huwa inanisumbua hadi natamani nihame kiofisi.
Very true chief yani data tz ni cheap kwa mfano dubai mb 100 ni almost 2000 za kibongosisi tunamiss tu mbadala wa mobile data, ila kwa mobile data tupo juu. nchi gani unaijua wewe ina vifurushi vya internet bei rahisi kuliko tanzania? mi nimetafuta sana na najichanganya na watu wa nchi mbalimbali ila sijaona.
sasa hivi 4G ukipata 1MB/s pia unaona network ipo slowTethered from gt-i9500 to pc. Vodacom ndo wasimamia show maeneo ya Tabata segerea. Na hapo network huwa inanisumbua hadi natamani nihame kiofisi.
Tigo sasa hivi ni wezi, wafanyakazi wao ndiyo wezi wakuu kwa kuwaibia Mawakala wao wa Tigo pesa !! Na mbinu kibao za kuwaibia Wanaojitokeza kuwa Mawakala wa Tigo pesa. Muwaogopeni huo mtandao sasa hivi ni hatari sana.Very true chief yani data tz ni cheap kwa mfano dubai mb 100 ni almost 2000 za kibongo
seems hata hujui tigo pesa inafanyaje kazi, mfanyakazi wa tigo hawezi iba kwenye tigopesa, ma super dealers na mawakala wakubwa ambao wamepewa hizo tenda ndio wanaweza. kama umepatwa na hilo tatizo kawashitaki tigo/polisiTigo sasa hivi ni wezi, wafanyakazi wao ndiyo wezi wakuu kwa kuwaibia Mawakala wao wa Tigo pesa !! Na mbinu kibao za kuwaibia Wanaojitokeza kuwa Mawakala wa Tigo pesa. Muwaogopeni huo mtandao sasa hivi ni hatari sana.
Mkuu sio mobile data tu, hata phone calls nna jamaa zangu Canada, Uk na uholanzi, wanastaajabu sana jinsi ilivo cheap kupiga simu ndani na njesisi tunamiss tu mbadala wa mobile data, ila kwa mobile data tupo juu. nchi gani unaijua wewe ina vifurushi vya internet bei rahisi kuliko tanzania? mi nimetafuta sana na najichanganya na watu wa nchi mbalimbali ila sijaona.
yah ni kweli sema quality yetu bado mbovu, mitandao yetu ina 4G ila sijaona alieeka vo-lte mpaka sasa hivi na ukitoa airtel sidhani kama kuna mwengine ana HD-Voice,Mkuu sio mobile data tu, hata phone calls nna jamaa zangu Canada, Uk na uholanzi, wanastaajabu sana jinsi ilivo cheap kupiga simu ndani na nje
Unajua mkuu mi naona mitandao haipo serious. Maana utakuta speed ya 3g inatia hasira 😀yah ni kweli sema quality yetu bado mbovu, mitandao yetu ina 4G ila sijaona alieeka vo-lte mpaka sasa hivi na ukitoa airtel sidhani kama kuna mwengine ana HD-Voice,
Inakuwa slow maana manzese nilipga 7mb/s kwa 4G ya tecno c9sasa hivi 4G ukipata 1MB/s pia unaona network ipo slow
Kumbe Airtel wana HD-voice!!!!!yah ni kweli sema quality yetu bado mbovu, mitandao yetu ina 4G ila sijaona alieeka vo-lte mpaka sasa hivi na ukitoa airtel sidhani kama kuna mwengine ana HD-Voice,
1MB/s ya idm ni sawa na 8mbps ambayo unaiona kwebye app nyingi za simu, hivyo hio speed ya idm ipo faster zaidi, 4G ya voda unapata 30 mpaka 50mbps au zaidoInakuwa slow maana manzese nilipga 7mb/s kwa 4G ya tecno c9
ndio wanayo, ili kuipata simu zote mbili ziwe zinakubali hio HD voice na wote mtumie Airtel.Kumbe Airtel wana HD-voice!!!!!
Kwa maana kuptia social networks au hii normal voice call????ndio wanayo, ili kuipata simu zote mbili ziwe zinakubali hio HD voice na wote mtumie Airtel.
hii hii voice call ya kawaida,Kwa maana kuptia social networks au hii normal voice call????
mkuu naomba link ya IDM ambayo ni cracked kwani niliyokuwa nayo ilikuwa ni trial version, nikijaribu kudownload inakataa![]()
hii speed yangu sasa hv nime snip