Vifurushi vya whatsapp tigo

Vifurushi vya whatsapp tigo

1r00vEu.png

hii speed yangu sasa hv nime snip

Unatumia kifaa gani mkuu?? Au kuna naona mnafanya kuongeza spidi Manake Mimi kila nikijaribu huishia 400-500kb/s,, chochote ninacho download.
 
Samahani Chief,

Hivi nikitaka ku-connect nyumba yangu na mkonga wa taifa natumia vigezo gani kuomba?

Au wale simba net au raha net nikitaka kuwavuta nyumbani kwangu waniwekee gharama zinaweza kuwaje?

kaka sina uhakika na hili jambo, ila bei zao ni balaa hazijafkia stage ya mtu wa kawaida kuzimudu, wanakuja kuleta leta matangazo yao humu bei za around 300,000 kwa mwezi speed ya kobe.

cheki hii thread
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/256252-get-internet-connection-at-cats-net.html usd 500 kwa mwaka
 
Kuna jamaa hapo ameiongelea TTCL walivyo poa. Nitaenda kuwauliza kama wanaweza kuniunga. Mara mia nikalipa 110,000 kwa mwezi nikatumia na familia nzima kuliko kujiunga bundles na ikasumbua.
 
Tigo kwa dsm wapo,vzuri downloading speed kwa simu inafika hadi 9mbs nikifanya tethering inaenda hadi 5mbs

upo eneo gani hilo mpaka una generalize hivo?

Tigo nimewafata mpaka masaki wanako dai wana DC-HSPA+(42Mbps) nikiwa na modem ya uwezo huo ila nilikua sizidi 300KB/sec kwa bundle la kulipia
 
Ulitaka ukawapige Njunwa......labda line yako haijawa configured kutumia 4G maana ndio iko masaki na mlimani city
 
Last edited by a moderator:
upo eneo gani hilo mpaka una generalize hivo?

Tigo nimewafata mpaka masaki wanako dai wana DC-HSPA+(42Mbps) nikiwa na modem ya uwezo huo ila nilikua sizidi 300KB/sec kwa bundle la kulipia

Mkuu nimeatach pich ili huweze ona kwa kidgo, ila ina depend,.wireless ni shared so ukiwa kwenye eneo lenye watu wengi wanaohudumiwa na mnara inakuwa ishu kupata kiwango kizuri, pia ukiachilia mbali ishu kama za magorof etc zina play part pia
 
Ulitaka ukawapige Njunwa......labda line yako haijawa configured kutumia 4G maana ndio iko masaki na mlimani city

hapana, siongelei 4G ya LTE hii wanayoinadi siku za karibuni ambazo line walisema zitatoka mwezi huu mwanzoni ila mpaka sasa wanatuzungusha...
naongelea 42Mbps speed walokua wakinadi kama 4G hii ni 3G category ila wao walikua wanaita 4G
 
Kuna jamaa hapo ameiongelea TTCL walivyo poa. Nitaenda kuwauliza kama wanaweza kuniunga. Mara mia nikalipa 110,000 kwa mwezi nikatumia na familia nzima kuliko kujiunga bundles na ikasumbua.

kama upo Dar labda haujui kufanya selection
Airtel
Zantel
Vodacom wote hawa wanaweza ku meet demands zako
Recommended uwe na Router walau ya 21Mbps mpaka 42Mbps kwa 3G
Unaweza kulipa hiyo 1.1k lakini speed ukapewa 1-2Mbps
 
1r00vEu.png

hii speed yangu sasa hv nime snip

Dah mpaka nawaonea wivu mkuu maana huku Manzese hiyo speed ni Airtel au Zantel ndiyo wanafika na kupitiliza.
Voda mida mida inapanda hadi 900KB/sec upande wa Tigo napata 150-200KB/sec, usiku wa manane ndiyo inajikongoja hadi 500KB/sec
 
Tigo kwa dsm wapo,vzuri downloading speed kwa simu inafika hadi 9mbs nikifanya tethering inaenda hadi 5mbs
we jamaa unaishi maeneo gan..??
mana hiyo speed kwa tigo ni maajabu
 
we jamaa unaishi maeneo gan..??
mana hiyo speed kwa tigo ni maajabu

Vip mkuu, huamini…?
voda walinizngua sana, unaunga unlimited kumbe ni upuuzi mtupu, ukishusha data kadhaa wanalimit speed ,ila tigo atleast mkuu, inapanda kama uonavyo kwa hiyo atachment....
 
kama upo Dar labda haujui kufanya selection
Airtel
Zantel
Vodacom wote hawa wanaweza ku meet demands zako
Recommended uwe na Router walau ya 21Mbps mpaka 42Mbps kwa 3G
Unaweza kulipa hiyo 1.1k lakini speed ukapewa 1-2Mbps

Yani nataka kutengeneza wireless system nyumbani yenge nguvu ambayo family members wanaweza kuitumia bila shida yeyote 24/7.

Ndo maana nikawaza wale provider wakubwa ambao watakupa internet 24/7 na kuachana na maswala ya moderm.
 
da wakuu mi mwenyewe leo nimeona maajabu ya tigo nipo shinyanga mjini natumia modem ya airtel mf190 cracked speed ya download inafika 6Mbps ndio mara yangu ya pili leo kutumia laini ya tigo japo mara ya kwanza ilinizingua nikaiacha ilikuwa inatembelea 215 - 341Mbps ilikuwa mwaka jana mwezi wa 7 ila leo nimewaona wame fix maana hapa uwa natumia voda 3 - 4Mbps Na airtel 1 - 3Mbps
 
Jamani sisi huku kwetu Njinjo Kilwa tigo ikijitahidi sana inafika 7kbps ila mara nyingi ni 2kbps,
Yaani unadownload file la 10 mbs kwa zaidi ya masaa mawili.
Sijui nifanyeje ushauri plz
 
huwenda hakuna 3g. tafuta simu yenye 3g halafu eka 3g only then nenda network search halafu tafuta network, ukipata mtandao hata mmoja ujue huo ndio una 3g then tumia huo.
 
daaah.. kaka umekumbusha maujanja yangu nlivyokuwaga nkiendaga kijijini kwetu
 
leo wakati najiunga kifurushi tigo nikaona menu mpya ya vifurushi vya whatsapp

1000 kwa wiki
2000 kwa mwezi

kwa ambao wanavitumia ni unlimited? unaweza kudownload picha na video au ni kuchat tu?

Hii menu unaipataje? Mbona sijaiona?
 
Back
Top Bottom