Lamchina
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 240
- 120
Kama umeoa au unatarajia kuoa ukapewa fursa ya kuchagua mfumo wa ndoa yako, utachagua kifurushi kipi kati ya hizi na kwa sababu gani?
1. Kifurushi cha Masaa
2. Kifurushi cha wiki
3. Kifurushi cha mwezi
4. Kifurushi cha mwaka
5. Kifurushi cha milele
Kazi kwenu!
1. Kifurushi cha Masaa
2. Kifurushi cha wiki
3. Kifurushi cha mwezi
4. Kifurushi cha mwaka
5. Kifurushi cha milele
Kazi kwenu!