mkwatis
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 350
- 171
Kwa Vile Tumeshazoea Kulipa kwa VIFURUSHI,leo nimekutana na kifurushi katika hospitali ya Bugando kuwa Ukipewa kitanda inabidi ulipe 150,000/=(kama deposit na hii huisha/expire ndani ya siku 4)na ni NON REFUNDABLE,hata kama ukifa unapelekwa wodini na hujapata huduma ilhali tu ulishalipa!Baada ya kuuliza kwa kina nikapewa maelekezo kama ifuatavyo na Mhudumu mmoja cjui kama yuko sahihi kwa mchanganuo huo wa kifurushi!
-Admission cku 4,kila siku ni 7,000/=
-Drugs/Madawa ni 25,000/=
-Investigation ni 25,000/=
-Consumables/vifaa tiba 25,000/=
-Utilities,(Umeme na Maji)-17,000/=
-Ward Laundry ni 25,000/=
HOJA:Kwa kuwa wameanzisha mfumo wa kulipa kwa card(HOSPITAL PREPAID CARD) na kwa nini wasingekuwa wanakata malipo yao na kurejesha albaki,kama umetumia 100,000/= na kwa huduma ya siku 3, shilingi 50,000/=irejeshwe kwenye card yako?Hii si sahihi na kama sio jipu ni tambazi!