Vifurushi vya Dstv kupanda kuanzia Agosti mosi 2025

Blaszczykowski

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2022
Posts
339
Reaction score
1,163
Kuanzia tarehe 1 Agosti 2025 DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo;

DStv Poa - 11,500/=
DStv Bomba - 27,500/=
DStv Family - 40,000/=
DStv Compact - 68,000/=
DStv Compact Plus - 118,000/=
DStv Premium - 189,000/=
Extra view - 36,000/=

Ndani ya mwaka tu wamepandisha Mara mbili vifurushi. Au ndio canal amekuja kurudisha pesa zake mambo ni magumu sana.
 
Lakini channels ziko poa sana mimi napenda sana ESPN, discover channel, history channel , curiosity, mnet, na Supersport, radio channel za music 🎶 🎵 +, azam ukitoa ligi ya bongo hamna kitu pale
Kuna mambumbumbu yatakuambia dstv gharama mfano mimi nalipia 11,000/- tu na mpira jana nimelipia 11,000/- nimepata channels za kifurushi cha 27,000/- ambacho kina ligi zote full kasoro epl na uefa champions league ambazo utaona mechi chache tu.
Kitu kingine ambacho DStv wamenikosha ukilipia kifurushi mfano cha 11,000/- baada ya siku mbili au tatu wanakutumia meseji ya offer ndani ya masaa 48 uongeze kiasi kidogo ili wakupandishe kifurushi cha juu walichokutajia kwenye meseji masaa 48 yakipita basi na hiyo inapita..hapa wamenikosha sana dstv sihamiii!
 
Hawa washenzi wamenunuliwa na Canal+ lakini bado wanapandisha bei...

hujajua kwanini kipindi mzunguko wa ligi za ulaya umeisha wanatoa offer back to back?
 
hujajua kwanini kipindi mzunguko wa ligi za ulaya wanatoa offer back to back?
Umewahi kutumia DStv? Tangu nimenunua dstv sijaona changamoto ya gharama za vifurushi kutokana na channel ninazopata naridhika ili uangalie mpira lazima Azam tv lazima ulipe 28,000/- wakati dstv ni 11,000/- tu utanishauri nini? Hilo swali siwezi kujibu ila faida nonayopata dstv nimeshaeleza.
 
natumia dstv toka 2008.
 
Lakini channels ziko poa sana mimi napenda sana ESPN, discover channel, history channel , curiosity, mnet, na Supersport, radio channel za music 🎶 🎵 +, azam ukitoa ligi ya bongo hamna kitu pale
Kwamba azam hakuna ESPN, DISCOVERY CHANNEL, HISTORY CHANNEL???
 
Umewahi kutumia DStv? Tangu nimenunua dstv sijaona changamoto ya gharama za vifurushi kutokana na channel ninazopata naridhika ili uangalie mpira lazima Azam tv lazima ulipe 28,000/- wakati dstv ni 11,000/- tu utanishauri nini? Hilo swali siwezi kujibu ila faida nonayopata dstv nimeshaeleza.
Mpira gani unaangalia kwa 11,000???
 
Mpira gani unaangalia kwa 11,000??
Una kichwa kizito sana
Kifurushi cha 11,000/- utaangalia mechi baadhi za ligi mbalimbali
Kifurushi cha 27,000/- utaangalia mechi zote za ligi wanazoonyesha kasoro EPL na UEFA champions league kwenye hizi ligi mbili utaona baadhi tu ya mechi hutaangalia zote.
Kipi hujaelewa hapo?

Sasa hivi kuna kuna offier ya kupandishwa kifurushi ukilipia cha 11,000/- utapewa cha 27,000/-
Vilevile wanakuaga na offer zao kwa mfano umelipia kifurushi cha 11,000/- au 27,000/- wanakutumia meseji kwenye ile namba uliyosajilia king'amuzi baada ya siku mbili au tatu watasema uongeze kiasi fulani cha pesa kwenye smartcard yako ili wakupe kifurushi watakachokutajia kwenye hiyo meseji . Kwa kawaida offer hii inakuwa na limit ya yani ndani masaa 48 uweshalipa ikipita basi na offer inakuwa imepita.

Kama hujaelewa na hapa basi usiniquote tafadhali sihitaji notifications za kipumbavu!
 
Kuanzia tarehe 1 Agosti 2025 DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo;

DStv Poa - 11,500/=
DStv Bomba - 27,500/=
DStv Family - 40,000/=
DStv Compact - 68,000/=
DStv Compact Plus - 118,000/=
DStv Premium - 189,000/=
Extra view - 36,000/=

Ndani ya mwaka tu wamepandisha Mara mbili vifurushi. Au ndio canal amekuja kurudisha pesa zake mambo ni magumu sana.
Yani hawa kila baada ya miezi kama 6 wanaongeza 2000. Nimeacha kutumia dstv toka mwez wa nne sasa ni mwendo wa internet na streaming tvs tu maana nikilipia 55000 kwa fiber au 70000 kwa airtel napata vyote. Internet na TV
 
5A32568F-5CBE-4A6D-A6A4-57E693E5C2EE.jpeg
 
Yani hawa kila baada ya miezi kama 6 wanaongeza 2000. Nimeacha kutumia dstv toka mwez wa nne sasa ni mwendo wa internet na streaming tvs tu maana nikilipia 55000 kwa fiber au 70000 kwa airtel napata vyote. Internet na TV
Mkuu, kwa premium channels like BBC, Bloomberg, Food Network, National Geographic e.t.c, huwa unazipata vipi kwa IPTV free of dime?.
 
Back
Top Bottom