Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 11,453
- 10,059
Njoo ZantelJamani hivi mnaelewa kweli vifurushi vya Voda vinavyolika yaan unajiung GB1 kwa shilingi 2000 baada ya saa kimeisha..nisaidieni mtandao gani uko nafuu ktk vifurushi vya mb hawazili mb