Vifurushi Voda mb ni majanga

Vifurushi Voda mb ni majanga

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,919
Reaction score
4,709
Jamani hivi mnaelewa kweli vifurushi vya Voda vinavyolika yaan unajiung GB1 kwa shilingi 2000 baada ya saa kimeisha..nisaidieni mtandao gani uko nafuu ktk vifurushi vya mb hawazili mb
 
ndo mdudu gani huyo, eti dk unapewa na vimsg 15 tulisha mcovid mda.
 
Daaa yaan mb zinavyoliwa acha yaan unanunua kifurushi Cha GB2.2 Cha wiki kwa shilingi3000 lakini ndani ya SAA moja unaambiwa umeshatunia 75%ya kifurushi chake
 
km una kamtindo kakutumia u tube sana si ujiunge vifurushi vya video
 
Daaa yaan mb zinavyoliwa acha yaan unanunua kifurushi Cha GB2.2 Cha wiki kwa shilingi3000 lakini ndani ya SAA moja unaambiwa umeshatunia 75%ya kifurushi chake
halafu wabongo bana hakuna anayeiba bando zako simu yako hasa ANDROID latest version ina manage vizuri tu ulaji wa bando lako na jambo zuri inakuonyesha namna ya matumizi yako na APPS gani inakula bando lako na namna ya kuweza kuzuia hiyo APPS isile bando wkati hauitaji

hapa chini ni chart inayokuonesha namna gani bando lako litaenda kadri utakavyitumia tumia muda kuangalia video mtandaoni
chart5.jpg

sasa km wewe ni mtumiaji wa Youtube set 144p bando lako litakaa sana
 
Ndio misana ni YouTube na jf,nainsta kidogo Sasa Apo awali haikuwa hivi voda

sasa mkuu km wapenda basi youtube ipo AUTOMATICK kuchagua Quality
sasa kwakuwa mtandao speed nzuri automatick unapelekwa kwenye 1080p ambapo ukitazama video chache bando lishaisha hapoa zamani ulikuwa na speed ndogo so ukawa unapelekwa kwenye 480p kushuka

Fuata hatua hizi kubadili kutoka automatic mpk kuchagua quality unayotaka wewe ili kubalance bando lako lisiende sanahatua ya kwanza paly video youtube kisha njoo kwenye hivi vidoti vitatu
Screenshot_20220226-162426_YouTube.jpg

chagua hapo nilipozungushia duala jekundu
Screenshot_20220226-162129_YouTube.jpg

kishaa njoo hapo advance
Screenshot_20220226-162323_YouTube.jpg

mwisho chagua quality unayotoka 240p au 144p inakula bando chache sana ila picha mbaya balaa
Screenshot_20220226-162027_YouTube.jpg
 
halafu wabongo bana hakuna anayeiba bando zako simu yako hasa ANDROID latest version ina manage vizuri tu ulaji wa bando lako na jambo zuri inakuonyesha namna ya matumizi yako na APPS gani inakula bando lako na namna ya kuweza kuzuia hiyo APPS isile bando wkati hauitaji

hapa chini ni chart inayokuonesha namna gani bando lako litaenda kadri utakavyitumia tumia muda kuangalia video mtandaoni
View attachment 2131999
sasa km wewe ni mtumiaji wa Youtube set 144p bando lako litakaa sana
Naset vp mkuu nielekeze maana mim natumia sm yakimaskini infinix
 
Jamani hivi mnaelewa kweli vifurushi vya Voda vinavyolika yaan unajiung GB1 kwa shilingi 2000 baada ya saa kimeisha..nisaidieni mtandao gani uko nafuu ktk vifurushi vya mb hawazili mb
Gharamika mkuu upewe ma gb ya kufa mtu

Screenshot_20220226-204216.png
 
Jamani hivi mnaelewa kweli vifurushi vya Voda vinavyolika yaan unajiung GB1 kwa shilingi 2000 baada ya saa kimeisha..nisaidieni mtandao gani uko nafuu ktk vifurushi vya mb hawazili mb
Nilidhani nipo mwenyewe...yaani mpaka nikapata wazo nipeleke line Voda labda ina matatizo.

Mtu unalazimika kujiunga mara mbili kwa siku na wala hakuna kikubwa ulichofanya tofauti na siku nyingine lakini unapata meseji kuwa kifurushi kimeisha.

Aise lazima wafidie watu maana huu ni wizi.
 
Jamani hivi mnaelewa kweli vifurushi vya Voda vinavyolika yaan unajiung GB1 kwa shilingi 2000 baada ya saa kimeisha..nisaidieni mtandao gani uko nafuu ktk vifurushi vya mb hawazili mb
Halotel buku jero 1.2GB pa1 na dk na sms kwa wiki.
 
Daaa yaan mb zinavyoliwa acha yaan unanunua kifurushi Cha GB2.2 Cha wiki kwa shilingi3000 lakini ndani ya SAA moja unaambiwa umeshatunia 75%ya kifurushi chake
Mimi kifurushi huko ndo ninacho kikubali ninakaa nacho mpk siku tatu na kupiga misele ya kutosha kuliko GB 2 za halotel
 
Back
Top Bottom