Vifurushi vipya vya voda

Vifurushi vipya vya voda

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,556
Reaction score
4,162
Ndugu mteja, tutabadilisha vifurushi vya Cheka kuanzia 8/10/2015. Kwa maelezo, tembelea tovuti yetu http://vda.cm/IntanetiBombastik Ahsante kwa kuchagua Vodacom
 

Attachments

  • 1444242831123.jpg
    1444242831123.jpg
    41.2 KB · Views: 754
  • 1444242914308.jpg
    1444242914308.jpg
    33.5 KB · Views: 710
Hakuna jipya hapa MB 1 ,ndo nini hiyo?
Ebo boresheni kwenye data
 
Voda tumewaamini but hamwaminiki mmekaa kitapeli sana
 
Airtel nao wamezindua unlimited data ya kuanzia saa 6 usiku mpaka saa 12 asubuhi, hawa providers wa Bongo ni miyeyusho.
 
Tulia ww mama.Baba la baba anakuja lazima uwe mpole Halotel ni shidaaa waulize Rwanda,Angola,Malawi,Vietnam etc
 
Halotel fanyeni haraka tunataka mabadiliko, kila siku gharama zinaongezeka badala ya kupungua
 
Halotel anaweza akaja na asifurukute coz gharama za mtandao zinapangwa na TCRA so atalazimika kutumia mfumo uliopo.
 
Ha ha ha ah ah ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaah! 1MB hata kurefresh apps zangu haitoshi, hawa lengo lao ni tununue vifurushi vya data peke yake
 
Back
Top Bottom