Vifuatavyo Ni Vipengele Vinavyoshindaniwa Jf Kwa Mwaka 2016.

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,267
29,906
KTK KUUFUNGA MWAKA '2016' NA KUUKARIBISHA '2017'
-----------------------------------------

Vifuatavyo ni Vipengele vya 'TUZO' zinazoshindaniwa JF kwa mwaka 2016 kabla ya mwaka Kuisha..
.......
1..Tuzo ya,
Mchekeshaji Bora wa JF..

2..Tuzo ya,
M'bishi Bora wa JF.......

3..Tuzo ya,
Mtu Anayejitolea kwa Wenzake kwenye Shida na Raha..
....

4..Tuzo ya,
Muongo Bora Kuliko wote...
....

5..Tuzo ya,
Mtu Bora Anayekua Hewani/Online muda wote..
....

6..Tuzo ya,
Mtu Ambaye yumo kwenye Forum lkn hajawahi Ku'Comment wala Ku'Post Chochote..
....

7..Tuzo ya,
Mtu Anayeonekana Mara Moja'moja kwenye Jf

8..Tuzo ya,
Mtu Anayependa Kujisifia kwenye JF........
....

9..Tuzo ya,
Mchangamshaji Bora wa Jf..
....

10..Tuzo ya,
Mstaarabu / Mtaratibu na Mwenye Busara Bora wa jf..
....

11..Tuzo ya,
Anayejifanya yeye Anajua kila kitu Bora wa Jf.........
....

12..Tuzo ya
M'babaishaji / Tapeli / Mapepe / Mjanjamjanja Bora wa Jf.....

13..Tuzo ya,
Heshima na Kiongozi Bora wa jf
....
14..Tuzo ya LAZIMA
Hii lazima iende kwa Muasisi wa JF.........

15..Tuzo ya,
Mtu Muaminifu kuliko wote ktk Jf.....

16..Tuzo ya,
Mtu Bora Ambaye Akikosekana ktk Group japo kwa siku,
Basi unaona km Mambo hayaendi vile....

17..Tuzo ya,
Mchapiaji Bora au Anayekosea'kosea Kuandika herufi za *Msg* ktk Jf......

18..Tuzo ya,
Mtu Bora Anayeongoza kutuma, Picha na Video/Clp ktk Jf........

19..Tuzo ya,
Mtu Anayeongoza Kutuma Picha za Midoli,
Kwa Mfano

km hivi Ni nani bora ktk Jf....

20..Tuzo ya,
Mtu Anayeongoza kwa kutoa Taarifa za *Break News* ktk Jf..

21..Tuzo ya
Mtu Bora Anayeongoza kwa Ku'Copy na Ku'Paste ktk Jf......

22..Tuzo ya,
Mtu Bora Anayekubalika Kuliko wote ktk Jf.......

23..Tuzo ya,
Mtu Bora Anayeongoza kwa Kuzira / Kukasirika na Kuchukia Mapema ktk Jf....

24..Tuzo ya,
Mtuma picha Bora wa Kutuma Picha za Kuudhi japo Wengine Wanazipenda ktk Jf......

NB;
KURA NI YA WAZI.....

Tafadhali
Taja Jina la Mtu....

Na Namba ya Kipengele Unachompendekeza.....
 
Weka na kipengere cha mtu anaendelea kuamini UKAWA bado ip na CDM itashinda Uchaguzi 2020.
 
Mtu au kiongozi anayependwa sana Jf
Mtu au kiongozi anaetajwa mara nyingi zaidi na thread zake huwa ni ndefu zaidi. Nimeongeza category
 
Back
Top Bottom