Vifo vya watoto wadogo na akina mama wajawazito. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vifo vya watoto wadogo na akina mama wajawazito.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Casiana Ndimbo, Jan 6, 2012.

 1. C

  Casiana Ndimbo New Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani hebu tasaidiane hapa..Hivi tuiambie nini hii serikali yetu ili ielewe na ichukue hatua juu ya mwanamke mjazito kutembea kilomita 18 kwenda kujifungua? vifo vya watoto na akina mama wajawazito kila siku vinaongezeka...Tufanyeje????????ili tuwaokoe ndugu zetu huko vijijini.
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  serikali ni kiziwi haiwezi kutusikia
   
Loading...