Vifo vya viongozi vyenye utata

Kila nafsi itaonja mauti jitoeni fahamu kwa visingizio kila aina badala ya kumrudia mungu
 
Kiukweli lazima wanadamu wamrudie mungu maake kila mtu sasa hivi anamejitoa akili
 
Nimesema orodha inaendela na kuna wachangia wametaja ungetaja na wewe ningeongeza......na kuhusu kuuliwa na CHADEMA bado huiondolei CCM tuhuma maana wao ndiyo walio apa kuilinda katiba ambayao ni pamoja na usalama wa watanzania.
Acha kulazimisha mambo
 
Nani amekwambia JKN alikuwa na ugonjwa wa ngozi?
 
Chacha Wangwe
Tindu Lisuu (jeruhiwa)
.....all by Freemen M'boo aka makengeza
 
Nyerere kilichomwua ni kansa ya damu jamani na nyingine labda ni frustration kwa kuona viongozi wanavyoanza kuloot mali za taifa ambazo yeye kazilinda sana.
 
Ila huenda Vicent ana point. Unajua Mkapa alianza ufisadi baada ya Nyerere kufariki
This is a serious allegation. Do you have unrefutable data to back up your allegation?
====
Sijajua mleta mada ana nia gani kuleta uzi huu!
 
JE KAMA HAYA YANA UKWELI kwa nini kanisa katoliki tanzania kushilikiana na Uganda zinataka kumpatia nyerere heshima ya utakatifu?
alifanikisha kuuandika mkataba wa serikali kulichotea kanisa ruzuku kutoka serikalini,hivyo lazima atunukiwe hiyo heshima,huo mkataba upo mpaka leo
 
Ptofeda Mwaikusa, Dr Senkoro Mvungi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…