Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

HUWEZI AMINI NLIPOKUWA NASOMA FORODHANI KTK MWAKA MZIMA NAWEZA PANDA UDA LABDA MARA CHACHE SANA, LIFT NYINGI NLIKUWA NAPEWA NA WATOTO WA KISHUWA TENA KWA MAKUBALIANO
YA WAZEE WAO...NIKISHUKA KITUO CHA MBUYUNI PALE AHH NAKANYAGA MPK HOME,SAA NYINGINE NLIKUWA NAPELEKWA MPK HOME
KUNA YULE MUUZA PIPI NJE YA GETI
FORODHANI UNAMKUMBKA,TULIKUWA TUNABUTUA SANA PIPI ZAKE WATU WANAGOMBANIA,ULE MSALA KNA SIKU AKAPELEKWA MWL JAMES AISE NLICHEZEA
UNAIKUMBUKA MIHOGO YA KULE BAHARINI...CHINI ILIKUWA INAUZWA
NLIKUWA NAWAKUSANYA WASHKJ WATOTO WA KISHUWA TUNAENDA KULA
HIVI MWL MBUYA YUKO HAI KWELI

NMEKUMBUKA MBALI SANA

Ova
Ile shuøe ilikuwa fujo sana. Primary school na O level kwenye jengo moja
Mtu msomi ni mwanazuo aka scholar. Msomi ni Mtaalam kwenye nyanja au fani maalum.

Na ili uwe msomi unatakiwa utumie nguvu za ziada katika kujijenga

Nakumbuka enzi za JPM nawapigia Tanesco nina shida na umeme nyumbani, walikuja na lori lenye winch na staff 4 au 5 tena wanawasiliana na mimi baada ya kupiga simu ya malalamiko. Fastaa!! Tukubaki mambo yamebadilika sana tena sana leo hii.
Ile shule ilikuwa fujo sana. Primary na O level jengo moja. Mna share facilities kama vyoo, geti moja etc
 
Mkuu bigbup kwa kuwakilisha sehemu uliyotokea bila kuweka chuki kwa wengine.

Hata Mshana Jr nakumbuka alianzisha uzi wa mitaa ya Mwananyamala. Mimi nikawa msomaji tu kwa sababu uzoefu wangu mitaa hiyo ni mdogo.

Wala sikuusema vibaya uzi wa watu kufurahia kumbukumbu za kwao walipokulia.

Ndivyo inavyotakiwa hivyo.
Tena uzi wa mshana jr tuliichsngia sana,maana maeneo yale pia tunayamudu
Watu wanakuwa na hasira tu bila msingi wowote

Ova
 
Wache aisee Masha alikua mrembo haswa , Mother wangu aliniambia kwamba Mama yao alisha wahi Kuwa Miss wa urembo .,Anna alikua naye mashallah, Nilipenda mademu wakubwa ndio maan hata huy Kissa anilikua namzimia , ,anita na Nora hao walikua kama na feel ndugu zangu zo sikuweza watamani lol , huyo Adelide Temu ni yupi, au ndio nilye muita Judy,? Judy baba yao alikua police na walikaa mtaa wa Ethiopian Crecent , alikau mrebo sana ila huyo na hisi ndio alikua mkuba zaidi ya wote .

Adelide alikuwa my age, Judy alikuwa mkubwa. Nyumba yao was opposite to tuliyokuwa tunaishi
 
Siku ya kwanza kuona Mdundiko ni shuleni ilikua sherehe ya Mwenge , mwenge ulikuaja hapo shule Obay primary , so kukawa na mdundiko , kipindi hicho sasa kwetu haturuhusiwi hata ktembea mtaa wa pili , sasa ilivyo anza mdundko tunaaza ufuata , tuka zunguka nao , toka Obay shule, Bongoyo road , Slender bridge , tuka rudi leaders club, Namanga, Maanzazi road , hadi Obay shule tena, duh si kuna mnoko akaja nisemea home kwamba nili tembea kote huko kufuata mdundiko , acha ni pigwe bonge la mkwara home lol

Oysterbay primary ulikuwa class of? Mimi 1984 nilikuwa class 4 nakumbuka ndio tumehamia shule mpya kutoka kwetu Machame aisee bonge moja la transform miaka hiyo
 
Enzi za muvi ya Kid n Play, House Party
Boyz and the Hood
New Jack city

Nakumbuka niliazimwa casseti ya redio ya NWA albam ya Niggaz4Life nikarikodi, redio ikala mkanda, mshkaji alinimaidi sana, ilikuwa original cassete ametumiwa kutoka US
Zile movies siku za awali mshua alikuwa anaziangalia kwanza yeye kabla ya kuzipitisha kwamba zinafaa kuangaliwa na sisi.

Kuna nyingine alikuwa anazirudisha.

Nakumbuka movies za Charles Bronson za Death Wish alizikataa.

Mpaka baadaye naona alichoka mwenyewe.
 
Hivi kwani lazima usome sasa? siamini kama umeshikiwa bunduki kichwani , kama hu enjoy kusoma hii mada then why are you here? si kuna mada nyingi tuu why uko hapa? uko hapa sababu una enjoy kusoma kinacho andikwa na tukiacha utakuwa bored, kama kuna mada nyingine muhimu na uko buzzy nazo usinge kuwa hapa kusoma comment moja hadi nyingine , ungekua huko , ila unajua mada iliyo hot and treding ni hii na ndio sababu uko hapa au nakosea? kumbuka ina 9k mpaka sasa .
Ungekuwa live uneshachezea makonzi we dogo, kupost ujinga Kama huu usirudie Tena
 
Duh, wewe ,unataja wau hapo nime watambua ni Warioba ,Malocho , kwa malocho sikuwahi kwenda kwnye party ila Miriam alisha wahi fanya party ya vijana yani ya Ki brazamen na masista doo, ilifanyika kwa kina Manyeng'a yani ili combintiona ya watu wawili ilikuwa yani Sophia na Miriam, enzi hizo tunaiga mambo ya Kimarekani ya House Pary the movie kama zile zilizo fanyika kwa kina Eddy Sapi .
Komanya ni wepi yule Waziri ? nakumbuka aliamia mwisho mwisho kabisa huku Oysterbay ya sisi wa Kongwe na sikumbuki kama klikuaga na zile party ,
Mahiga ( balozi) sikujua alikaa Obay, kuna Mahiga kaka yake alikaa Oysterbay Mtaa wa Hill road , Mahga balozi alikaa Obay zamani sana miaka ya late 70.s kabla ya kwenda Canada , sikujua kama alikaa Obay .
Bakilana, sikujua kulikua na Bakilana wengine wa huko Mzinga way ,kunaBakilana wale alio kaa huku kama Kenytatta drive au Kaunda dr na kuna hawa walio kaa Msasani road pembeni ya Oysterbay Primary school ,hao wa Mzinga way siwakumbuki .Mtei ni yupi huyo? nlidhani Obay na kumbuka or najua kila mtu.
Party za Warioba zipi hizo , zile akiwa Waziri mkuu ? nakumbuka nilienda paty kama Mbili au tatu , moja sijui ilikua ni birthday ya JUne ,kitu kama hicho , wakiwa wamehamia hapo kwa JUmba la Waziri mkuu ,nili attend hizo ila hazikua nyingi na huyo friend wako wa Geneva ni nani ni ,Simon ? maana Smon alikuwa anakuwepo kwenye party hizo .
Mengi akiishi Msasani Road hiyo longtime sana aisee, hata niko primary school ,hapo Obay , tukikaa kwnye mbuyu pale akipita na Mercedez ndio wana sema wadau huyo mzee ni tajiri Oysterbay Nzima, kumbe uhalisia ni Tajiri Tanzania nzima .
TZA na toyota stoud dah, wachana karibu wote walikua na hizo pick ups ,sijui waliambizana , ilafika wakati , kila familai wana pickup huko obay, matokeo yake wachache tuu ndio wakaw na magari ya ukweli ya vijana kutanulia coco beach ( enzi hizococo beach Jumapili wana jaa watoto wa kishua tuu na kutanuliana mavazi na magari) naw alio tesa na mabari ya ukweli Merrcedez Audi,BMW na kumbuka ni kina Janguoz , Abebez,Yuyu,Mandaraz, Yule jma wa Masaki , walimuuaga Manzese wakidhani ni jambazi, ( nime msahau kina alikua wa Ki Mix wa kiarabu) na wengine wachache nime wasahau kwa hapa .
Ajabu Motie sikumjua kabisa , wala sikuw ahi muona kwnye party zozote za vijana wala coco beach, Motie nime kuja mjua ( Kumuona kwnye kuparty) baada ya kuanza date huyu Seko , tena niliza kumuona Bar One, nilikua na msikia tuu ila kwnye party scenes nilikua simuoni ,s ijui ilikua tuna pishana vipi mpaka nilikua simjui hata ana fananaje, sikumbuki nani nilikua na anz amuona zaidi ni Mdogo wake or Motie .
Abbad Mwinyi hapo nilikua nadhani nilisha Ondoko Bongo , sikumbuki matanuzi yake ila nakumbuka matanuzi ya Abdul Msomali na Albert pia .
Party za kina Eddy Sapi, zilkua kiboko , tulikua tunajiona tuko America kabisa ,kwa jinsi tulivyo kua tuna jidanganya kwa kuiga umarekani kupitia hizo Movies za House Prty .
Wazee wetu Oyesterbay, walikua wana mkosoa sana Mzee Adam Sapi kwa kuruhusu party hizo kufanyika nyumbani kwake, kuruhusu vijana kufanya party bila usimamizi wa wazee.
Kuna siku ilifanyika party hapo the Green,Osyterbay ( Mabembeani) , watu tumesha jiandaa ana kufika hapo , tunakuka mapolice wamejaa na party ime fungwa, kumbe wazee wa Oysterbay wali gundua sijui mnoko gani aliwatonya , basi wazee waka contact Mzee mmoja alikua sijui na cheo gani cha Police anaitwa Mwaitenda (Marehemu) basi akaamuru police wakaja hapo kuzuia party, watu tumesha pigilia Reebok zetu ( High Tops) enzi hizo ndio balaa tena baba kaleta toka UK , tumesha amua wakomesha mabishoo filani ambao walikua wanajiona wanajua sana kupigilia vitu vya Ukweli, ila wao wamevaa FILA sisi tuna Reebok na jensz na Tshirts za Ukweli toka majuu , ilikua tukiingia lazima ugeuke maana enzi hizo viu vya nje ni vichache sana na mpaka mtu Uletewe toka nje ,lasivyo utavaa yuliita "Dar Combined" , yani kila mtu anacho , sasa ujania ilikua ukiingia sehemu unapiga kitu tofauti , uliwakomesha mabishoo fulani fulani, ( Mnajijua kama mna soma hapa ) basi tukatangaziwa hapo kwamba Party hakuna na wote watawanyike kurudi majumbani ,duh, sijui MaDJ ndio walikua kina Abel Siwale (Marehemu) na organizers walikuona Mmoja wapo Franco Mtui (Marehemu), ikawa tafrani tuu , kilammoja hajui nini kifanyike .
Basi watu tukawa so dissapinted , ila kabla hatujaaza kurudi tukasikia wana sema kwamba Eddy Sapi kaenda muomb baba yake tufanyie party kwao, na baba yake kakubali, acha bOnge la shangwe lifanyike ,wote tuka ahamia huko kwa Sapi ( Ilikua party kama ya pili kufanyika hapo) ,ila huw ana shindwa elewa watu ulikua tunapataje taarifa na kulikua hakuna cellphone?, basi Wababa zetu , waka kasirika sana waka kemea vikali Mzee Sapi kuruhusu hizo party kufanyika hapo , lakini wapi tupa piga shangwe mpaka late night .
Beach parties, hizo zilikua za kishua hapo coco beach, hakuna wahuni, ,sijui nani alikuja wa tonya watoto wa Manzese, ikaja kuwa balaa, beach parties zikaja vamiwa na wahuni toka Manzense ( enzi hizo Manzege ni ina wahuni hata Mbagara wanasubiri na Mbagara enzi hizo hata hatuijui na sijui kama ilikuwa na watuw anaishi huko nadhani ilikua pori ) unakuta usiku ziadi ya hata 500 wahuni wakitembea kwa miguu kuja beach Usiku kwnye beach party na ndiopo zikaja acha kufanyika , bila kusaghau zile Pickniks za kibisho , ezi hizo tuna shobo na totoz za Zanaki na Shaban robert.
Miaka ile tume kula maraha sana ,wengine tulidhani labda kukulia America tungekua na fun zaidi, ila baada ya kwwenda US nakuona teenagers wanavyo enjoy life kinamna yao, nikasema Bongo nilikuwa na enjoy zaidi kushinda hawa wahuku ,maana age ina walimit kwnye mambo mengi sana , Bongo ilukua tunajiachia ka raha zote .
Waliokaa pembeni ya Oysterbay Primary ni akina Bakirane, sio bakilana. Akina Bakilana walikaa kule karibu na lilipoanzia daraja la Tanzanite.

Kwa kina Bakirane walikua wanafuga Ng'ombe pale kwao na ile Isuzu KB double cabin tulienda nayo sana kuchukua majani shamba.

Enzi hizo huwezi ishi au pita pita mitaa ile usiwajie akina Kafipa, Apson, Kejo, Kitomari, Mtui, Cathless, Faraji, Kamuzora, Warioba, Mengi, Kihampa, Ngamilo, Ngalawa, Malecela, Bakilana, Bakirane, Ligate, Usungu, Mtui, Kotta, Mpembe, Maliti, Ntukamazina, Mahiga, na wengineo, akina Malocho na Mang'enya waliishi Chole road huko na Akina Typhon Maji. Majina ni mengi sana ngoja niachie hapo.
 
Back
Top Bottom