Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,650
- 106,803
Kuna Mzee mmoja wa Hill Rd (siku hizi wameiita Yasser Arafat Rd) mnoko huyo, nilikuwa nikienda kumtembelea mshkaji lazima aniulize "Unakaa wapi? Baba yako nani?"hahahahahahahaah kweli kabisa, tulikatazwa watoto wa Mbuyuni sababu ni wahuni , wengi wao walitoka uswazi .
Yani mshua alikuwa kama hataki mwanae alete ile crew ya Kinondoni Kajima nyumbani.
Mnakumbuka mechi za OFC na Kajima?