Wingawinga
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 621
- 1,524
- Thread starter
- #201
Hahahaha hapo kweliKinje zamani alikuwa mtulivu sana, sema alikuja kuharibiwa na akina Shomari kimbau
Hahahaha hapo kweliKinje zamani alikuwa mtulivu sana, sema alikuja kuharibiwa na akina Shomari kimbau
Hahahahahahahs io hap bana hahahahaaWe jamaa, usijekuwa unawasema akina Deo lee
To be fair hujakatazwa kuanzisha thread ya waliokufa kwenu.Basi kwakuwa hao watu sio muhimu humu jf ingependeza mkaunda group la watoto wa kishua wa obey then ukatumbukizia hiyo mada yako ya kuwaulizia hao waliorushwa huko maghorofani naamini ungepata taarifa sahihi kuwahusu. .
Sasa kila mtu kutoka eneo lake huko aje jf kuanzisha thred ya kuwaulizia waliokufa huko kwao jf itakuwa ni uwanja wa fujo......
Nadhani Bakirane ni wale wa pale Pembeni ya Obay primary schoolKuna Bakilana na Bakirane. Haya majina yana confuse, nadhani wite ni Wahaya.
Ndiyo.Nadhani Bakirane ni wale wa pale Pembeni ya Obay primary school
Kwani nini kimebadiliaka sasa hiv? Acha wivu , utauia moyo. bure .Mijitu mizima wengine wana wajukuu wanawaza jinsi walivyo kuwa wakiishi maisha ya privilege Oysterbay na Masaki sababu baba zao walikuwa vigogo Serikalini. Utakuta wengi walipelekwa Ulaya na USA kupitia pesa za kodi na leo hii maisha yamewashinda wamebaki kukumbuka how happy and licky their lives were back when they were living with moms and pops i n Masaki and Oysterbay.
Usije jiua tuu hata wewe ungekua na baba ana nafasi ungemlaani kwanini hajakupeleka Ulaya acha wivu .First Class ya kulipiwa na baba yako mwizi serikalini? Watoto wa mafisadi mpo nostalgic na enzi mlivyokuwa mnatafuna pesa za kodi kupitia migongo ya mafisadi baba zenu.
Mimi nimeenda Ulaya kusoma kwa akili yangu sikusaidiwa na mzee. Hadi ticket ya KLM economy class nili hustle mwenyewe. Nyie washua wa Masaki na O’bay mlikuwa mnapanda ndege first/business class kwa pesa ya baba aliyekuwa akilipwa mshahara na serikali?Usije jiua tuu hata wewe ungekua na baba ana nafasi ungemlaani kwanini hajakupeleka Ulaya acha wivu .
Aisee kweli , siku hizi kuna watu wameibuka hahahahahahaha, ume ni chekesha kitu kimoja, kuna jama walikua wana kaa hapo Namanga ,uswazi, sasa walikua wanakuja Obay , wana ndugu zao, hao jamaa ndio wakaanza funza watoto wa kishua wizi, waka wana waambia , ukiingia ndani , cheki kwnye wallet ya baba yako una weza kuta dollar chukua halafu lete, au walio walio fuga kuku,walikua wana waambia ingia bandani iba kuku , sasa kibaya ndio wakawavutisha bangi, kuna jamaa mmoja hadi leo ame data sababu ya bangi na pombe na chanzo ni hao jamaa wa Namanga hapo .Kama mtu amesha wastukia ni nani please anomba asiwataje majina .lol
Usiwalundike watoto wa kishua / Oysterbay wote kwenye kundi moja.Mimi nimeenda Ulaya kusoma kwa akili yangu sikusaidiwa na mzee. Hadi ticket ya KLM economy class nili hustle mwenyewe. Nyie washua wa Masaki na O’bay mlikuwa mnaoanda ndege first/business class kwa pesa ya baba aliyekuwa akilipwa mshahara na serikali?
Le Mutuzi aliweza kujisimamisa mwenyewe sababu hakuwa anahesabika kama mwana wa nyumba kubwa, yule hakuwahi ishi nyumba ya mzee yule na ina wezekana hata alikua hatambuliki , wote walio close to that family watakua mbia kwamba Lembebe hakuwepo kwnye maisha ya ile familia , aliishi kivyake toka mdogo, hakuwa mana Oysterbay na hakuna aliye mjua mpaka kaja kuwa mtu mzima. mzima .Usiwalundike watoto wa kishua / Oysterbay wote kwenye kundi moja.
Kafuatilie maisha ya William Lemutuz Malecela uone alivyopasua mwenyewe.
Kuna mwana mmoja alikuwa analalamika baba yake kakataa ufadhili wa wahindi kumtoa aje kusoma Marekani, mpaka mwana akaja kuitoa kivyake mwenyewe.
Usikariri kwamba watoto wa Oysterbay wote wamefungishwa mkanda na washua.
Aisee , mimi nime wajua The Jacksons kwamba ni popular sababu ya kina Opanga, sababu kubw akwetu tulikua na zile Albums za LP na tukawa na hao The Jaclsons Albums zao , sasa hao kina Opanga wakawa ndio wam erudi toka USA ,miaka hiyo , kipindi cha party za wakaona hizo Albm ndio wakaanza tuhadithia , huyu ni Michael jackson , hawanni the Jacksons ni wako popular sana USA , ndio nikamjua Michael jackson wakati huo yuko kwnye Gorup la the Jacksons
Kama nyumba yeni ilikua next to Opangas basi before nyumba yenu hapo walikua wana kaa kina Arden ,Wema and Ndoli , mama yao alikua Mganda , baba yao alikua ni yule Waziri nime sahau jina lake, Obanga walrdi na gari eni hizo ndio tunaona kali Peugeot 504 na bada ya muda nao hao wakanunua Peugot 504 kali ina hadi sun roof, iilkua matanuzi haswa , nyumba next, ilikuwa wanaitwa Kimbwereza sijui wako wapi now.
hahahahahahahaah kweli kabisa, tulikatazwa watoto wa Mbuyuni sababu ni wahuni , wengi wao walitoka uswazi .Ndio maana watoto wa Mbuyuni walikuwa wanaogopwa tunaambiwa tusicheze nao kumbe ni sababu hiyo
Ok sikumbuki ni Kaka yupi huyo mwenye Kibiongo , ila na Mkumbuka walikua wana Kaka yao anaitwa Kamba ( Kamba kama unasoma hapa unajua tulisha wahi pigana mangumi mimi na wewe ) . Obay nilisha wai pigana na watu wawil , Kamba Na Aluta Warioba na wote waka ni dunda, hahahahaNyumba yetu ilikuwa between Opangas na Kimbwereza. Kulikuwa kuna kaka yao ana kibiongo ndo mara ya kwanza naona mtu wa namna hiyo I remember tukimtania, shame ila ni utoto ulikuwa
Duu eebwana max unampata haha tuishie hapo mkuu.
Dah,Nyumba yetu ilikuwa between Opangas na Kimbwereza. Kulikuwa kuna kaka yao ana kibiongo ndo mara ya kwanza naona mtu wa namna hiyo I remember tukimtania, shame ila ni utoto ulikuwa
Sikujua hiyoKinje nilikuwa namjua kwa sura tu alikuwa nyuma yangu Shaaban Robert lakini jina nilikuwa silijui. Ana matatizo ya involuntary facial muscle movement(s).
Huyu ni Kaka yake anaitwa Anthony , alikua gagwe enzi hizo tuna danganyana eti Anthony anaweza piga shule nzima kama tulivyo kuwa tuna danganya eti Bruce Lee ana weza piga dunia nzima . lolHivi Max ndio kina Kafipa? Au namchanganya? Ila jina la mwisho Kafipa, either Max or Anthony jamani alikuwa akipita mtaa wa Ethiopia Crescent wasichana wanakimbia hatari maana mtaa ulikuwa na mabinti wazuri kweli.