Vifo vya UKIMWI Tanzania

Mzee2000

JF-Expert Member
Aug 7, 2009
527
221
Kwa wale wenye statistics za UKIMWI Tanzania naomba data hizi.

Je UKIMWI bado ndio gonjwa la pili kuua bongo baada ya malaria, kwasababu bado watu wanakufa kwa cancer n.k ambazo zinaletwa na UKIMWI je hawa wanarekodiwa wamekufa kwa UKIMWI?

Kwa mawazo yangu nahisi UKIMWI bado ni namba one killer ila wanaokufa kwa magonjwa yanayousiana na UKIMWI wanarekodiwa kwa magonjwa hayo badala ya UKIMWI wenyewe ambao ndio chanzo.

Je hizi dawa za kurefusha maisha zimesaidia kiasi gani kupunguza vifo?
 
Back
Top Bottom