- Idadi ya vifo imefikia kiasi gani???Watoto wanaokufa JKT serikali inalijua hilo? Nenda kashuhudie makambi ya Tabora,Tanga nk.Hivi watoto hao walipotoka Form six walipimwa afya kwanza kabla ya kwenda JKT? Sasa haya ona sasa wanakufa.
wanapimwa tena mara mbili, ngazi ya wilaya na mkoa. labda kama walipita njia pembeni.Watoto wanaokufa JKT serikali
inalijua hilo? Nenda kashuhudie makambi ya Tabora,Tanga nk.Hivi watoto
hao walipotoka Form six walipimwa afya kwanza kabla ya kwenda JKT? Sasa
haya ona sasa wanakufa.
Watoto wanaokufa JKT serikali inalijua hilo? Nenda kashuhudie makambi ya Tabora,Tanga nk.Hivi watoto hao walipotoka Form six walipimwa afya kwanza kabla ya kwenda JKT? Sasa haya ona sasa wanakufa.
Hizi ni proopaganda za chadema za kufanya watu wasipende JKT.
Chadema kila jambo zuri linaloanzishwa lazima walifanyie fitina ili lisifanikiwe.
Msikubali kulaghaiwa na hawa walafi wenye uroho wa madaraka. Wako radhi kuiharibu nchi ili wapate madaraka tu.
Kabla hamjalaghaika jiulizeni, hao watu wanaokufa na kuagwa miili yao inaenda mwezini? kwanini hakuna ndugu aliyefiwa huku uraiani?
Ninamshauri Maj. Gen. Muhuga akae chini viongozi wa chadema kiutu uzima awaambie kuwa huu upuuzi wa kutunga propaganda za kijinga juu ya kozi za JKT haufai.
Iwapo hawatasikia basi nashauri jeshi lifanye "jambo linalostahili" kwa maslahi ya wengi.

Leo Tabora peke yake tena nasiki wameaga maiti mbili.