T-90M ni ya 2017 mpya kabisa kwa sasa. Tuipe Leopard 2 A8 ya 2010 ambayo ndio mpy, T-90M haiizidi. Sio kwenye detection range, protection wala penetration. T-90M imekamatwa Ukraine na wameenda isoma, humohumo kuna components za makampuni ya Ujerumani. Tena components zenye sanctions kuuzwa Russia
View attachment 2492463View attachment 2492465View attachment 2492467
Tumelinganisha tanks, sio silaha nyingine. Na hizo nyingine ukitaka zilinganishwe nifanye hivi:
Kornet mpinzani wake kwa silaha za Ujerumani ni Panzerfaust 3, light weight ina kilo 14 mtu mmoja anabeba na iko very effective
View attachment 2492468
Kornet hii hapa lazima ibebwe na watu wawili, ndefu kwenda juu inaonekana na adui kutokea mbali na ina tripod stand kwa sababu ya uzito wake na recoil. Hii sio very mobile, mwenye Pz 3 anafyatua moja anatimua zake mbio ila mwenye Kornet E mpaka afungue nati sijui atoe kitu gani waje wawili wabebe. We mwenyewe linganisha hapo
View attachment 2492472
Ka-52 mpizani wake kwenye jeshi la Ujerumani ni Eurocopter Tiger na kampuni zilizoiunda kama Airbus hazina uzoefu wa kutengeneza combat helicopters kwahiyo siiamini sana. Nifanye assumption Ka-52 inaizidi Tiger, ila uko Ukraine performance ya Ka-52 sijaielewa sana na vile hawapendi kuipa smart munitions. Mi-28 na Ka-52 zote ni attack helis.
Smerch na Tornado ni different calibers with almost the same function but with lower precision. Mwenzao kwa Ujerumani ni Mars II ambayo ni M270 version ya Ujerumani. M270 ni kama HIMARS yenye caliber na range ndogo ila yenye rockets nyingi.
Hapa unatetea nchi ambayo precision industry yake ambayo ni muhimu sana kutengenezea silaha inahitaji msaada wa makampuni ya Ujerumani ambayo yamepigwa marufuku kuiuzia Russia critical technologies. Hapa ni still picture imechukuliwa kwenye video ambayo Putin anafanya ziara kiwanda cha kutengeneza silaha cha Kalashnikov concern ambacho kinatumia lathes za DMG Mori, a German-Japanese company
View attachment 2492482