Vifaranga wa kuku wa kienyeji- Iringa

BASHADA

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
513
148
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza.

Toa order yako mapema, unaweza kupata vifaranga at least 100 kila wiki (uwezo wangu ni kutoa vifaranga 150 kwa wiki)

Wewe utaamua unahitaji wenye umri gani, kuanzia wiki moja, mbili, tatu au mwezi mmoja.

Mteja atapata ushauri wa bure jinsi ya kuwahudumia na kupata mazao bora kabisa.
Atakayenunua vifaranga 100 atapewa na bonus.

Njoo inbox, njoo tufanye biashara
 
Wiki 4= 3,500 (wamepewa chanjo za kideri na gumboro kama inavyotakiwa- kideri mara 2 na gumboro mara 2)
Wiki 3 = 3,000 (Utaenda kumalizia chanjo moja tuu siku ya 28 i.e. gumboro)
Wiki 2= 2,500 (Wamepewa chanjo moja ya kideri na moja ya gumboro (wewe utaenda kumalizia 2 zilizobaki)
Wiki 1 = 2,000 (utaenda kuwapa chanjo mwenyewe na kuwatunza)
 
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza.

Toa order yako mapema, unaweza kupata vifaranga at least 100 kila wiki (uwezo wangu ni kutoa vifaranga 150 kwa wiki)

Wewe utaamua unahitaji wenye umri gani, kuanzia wiki moja, mbili, tatu au mwezi mmoja.

Mteja atapata ushauri wa bure jinsi ya kuwahudumia na kupata mazao bora kabisa.
Atakayenunua vifaranga 100 atapewa na bonus.

Njoo inbox, njoo tufanye biashara

Tuwekee hata picha ya hivyo vifaranga
 
Back
Top Bottom