Vifaranga vya Samaki aina ya Sato (Tilapia) vinauzwa

Vifaranga vya Samaki aina ya Sato (Tilapia) vinauzwa

kishader

New Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Tunauza vifaranga vya samaki wa aina ya sato. Bei ni sh300 kwa kifaranga. Hawa wanafaa kwa ajili ya uzalishaji wa vifaranga for commercial use. Tuna vifaranga zaidi ya 100,000, hii mbegu ni ya Uganda. Kwa maelezo zaidi pm me au nipigie kwa namba 0658701702
 
Back
Top Bottom