Vifaranga chotara

Nazalisha vifaranga chotara wanaovumilia magonjwa nakutaga mayai mengi mpka mayai 45 kabla ya kutamia 0755387681

mkuu, kuku mmoja anataga mayai 45? duh hii kiboko, kichwa cha habari kinasema ni tetesi! hebu weka wazi hii ni tetesi kwa vipi

nitakutafuta ndugu kitomari2

bei please?
 
Inawezekana kabisa kuku kutaga mayai 45 kabla ya kuatamia. Ila ili uaminike inabidi utuwekee na picha kabisa..
 
mimi sioni cha ajabu kuku kutaga kuku kabla ya kuatamia kwa sababu mleta hoja hajasema hayo mayai anayataga kwa muda gani, you never know inawezekana ikawa ni miezi 3!!
 
mimi sioni cha ajabu kuku kutaga kuku kabla ya kuatamia kwa sababu mleta hoja hajasema hayo mayai anayataga kwa muda gani, you never know inawezekana ikawa ni miezi 3!!

wakwangu wanapoanza kutaga ni ndani ya siku 45 anafikisha hayo mayai 45
 
Mimi siimtalam sana katika ufugaji kuku lakini nilipokuwa nasoma kijijini kwetu kulikuwa na kituo cha utafiti wa kilimo TARO kwati huo kulikuwa na kuku weupe sijui niwakabila gani ila walikuwa wakubwa wanafika hata kilo 2.5 na walikuwa wakitaga mayai mawili kwa siku sijui nikawaida ama walikuwa tofauti na wengine
 
Ujue kaka hamnaga duniani kuku anaetaga mara 2 kwa sku 1 kuku hutaga mara 1 tu ila kuna wengine hambao huchelewa kutaga na kutaga yai ucku wewe unapoikuta unafkiria kataga mara 2
 
So kula yake ni kama ya wale wa kienyeji I mean mambo ya kutanga tanga?
 
Mnunuzi wa kutokea Dar inabidi walipie nauli? Na ni kiasi gani kwa wangapi?
 
Back
Top Bottom