peke ake 400000Mashine unasema bei gani mkuu!?
nop ndo mana nikasema nauza peke ake hata bila eneo,sehmu inabiashara japo sio sana (Kusema kwel zuri sana tatzo kodi kubwa 80000, bila dektop ukilipa 450000 flesh nakupa na pale pana miez miwil mbeleKodi kwa mwezi.sh ngap??
So kila kitu na eneo sh ngap jumla bila desktop?
Swali la kizushi.Unahitaji pesa ya haraka au eneo Halina biashara mkuu??
kuna siku ngumu mbili ambazo ni j4 na j5 ila siku zingine unaweza laza 15-20 baada ya kumpa dogo sema sehm yenyew saiv ina miez m4 toka nimechukua (na shida yangu ni ya siku mbili tu nikiweza kusolve basi sitouza mana nimetingwa ndugu0Kwa makadirio ya chini ya kabisa, unaeza ukalaza sh. ngpi kwa siku, kwnye car wash mkuu??
nop ndo mana nikasema nauza peke ake hata bila eneo,sehmu inabiashara japo sio sana (Kusema kwel zuri sana tatzo kodi kubwa 80000, bila dektop ukilipa 450000 flesh nakupa na pale pana miez miwil mbele
Oya mi naitaji mashine tu Niko masasani
Mkuu jaribu kuipambania hii nazan zile ndoto zako zitatimia, inshallahDaah hii Carwash naijua nilipita nagari sikumoja nikaiuona...ila ngoja nifanye kitu.
Washaibeba.Mkuu jaribu kuipambania hii nazan zile ndoto zako zitatimia, inshallah
duuh, mtembea bure sio sawa na mkaa bure pambana utapata nyingine tuWashaibeba.
[emoji110][emoji110][emoji110][emoji110]duuh, mtembea bure sio sawa na mkaa bure pambana utapata nyingine tu
Mi nahitaj hyo pikipiki, nimeielewa kinoma!WAHESHIMIWA IMESHACHUKULIWA
OHHOOMi nahitaj hyo pikipiki, nimeielewa kinoma!
Inatumia mafuta au umeme?peke ake 400000