Vifaa vya Ujenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vifaa vya Ujenzi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mazingira, Mar 31, 2011.

 1. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2011
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wakuu kwa wale wenye uzoefu katika shughuli za ujenzi hebu tusaidiane hapa. Nahitaji kujua wapi naweza kununua nondo imara kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya ghorofa moja na bei yake ikoje kwa tani (eg za mm 8, 12 na 16). Je kweli kokoto nyeupe za mawe hazifai mpaka zile nyeusi tu za Lugoba na Msolwa? Je naweza kupata wapi tofali imara za concreate au vibrated? Bei zake zikoje?
  Natanguliza shukrani zangu wakuu.
   
 2. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2011
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wakuu hebu tusaidiane jamani hapa kwa wenye uzoefu au wenye kujua haya mambo ya ujenzi.
   
 3. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  endeleza utafiti.
   
 4. m

  manyusi JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 274
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Bei ya nondo i Tsh 1400,000 per ton haijalishi ni size gani,tofauti itakuwa ni idadi,kokoto za msolwa ni nzuri na ndizo recomended ila inategemea unataka kujenga gorofa la ukubwa gani kama ni la kuishi unaweza tumia hata nyeupe kama ni la bishara na unategemea ni zaidi ya gorofa mbili ni bora utumie za msolwa.Ukihitaji hizo kokoto ni PM nondo nenda pale KAMAKA Tabata opp. Sita steel
   
 5. m

  manyusi JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 274
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Bei ya nondo i Tsh 1400,000 per ton haijalishi ni size gani,tofauti itakuwa ni idadi,kokoto za msolwa ni nzuri na ndizo recomended ila inategemea unataka kujenga gorofa la ukubwa gani kama ni la kuishi unaweza tumia hata nyeupe kama ni la bishara na unategemea ni zaidi ya gorofa mbili ni bora utumie za msolwa.Ukihitaji hizo kokoto ni PM nondo nenda pale KAMAKA Tabata opp. Sita steel
   
 6. m

  manyusi JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 274
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Bei ya nondo i Tsh 1400,000 per ton haijalishi ni size gani,tofauti itakuwa ni idadi,kokoto za msolwa ni nzuri na ndizo recomended ila inategemea unataka kujenga gorofa la ukubwa gani kama ni la kuishi unaweza tumia hata nyeupe kama ni la bishara na unategemea ni zaidi ya gorofa mbili ni bora utumie za msolwa.Ukihitaji hizo kokoto ni PM nondo nenda pale KAMAKA Tabata opp. Sita steel.Tofali bei zake ni 800-1300 vibrated
   
 7. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2011
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Manyusi nashukuru sana kwa taarifa hii. Ni nyumba ya kusihi just kagorofa kamoja tu. Kwahiyo nyeupe zinafaa, hizi ni habari njema maana itapunguza gharama pia. Nikiwa tayari kwa kokoto nitakuPM. Pia kuna thread moja kwenye jukwaa hili titled "Gharama za kujenga nyumba" uliahidi kutupa mfano wa finishing wa kazi zenu tunasubiri ili tukipenda tukutafute tukupe kazi.
   
 8. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Mazingira kuhusu nondo jaribu pia pale Buruguni karibia na mataa, bei zake ukaulizie pale pale kutokana na milimita. Usisahau kujumlisha na gharama ya usafiri kutoka sehemu utakaponunua nondo kwenda site na hiyo ni per trip.
   
 9. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2011
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Asante dada Belinda. Hizo nondo ulishawahi kuzitumia na ukajua ubora wake? Maana naambiwa kuna nondo zingine zinazotengenezwa TZ zinavunjika kama kuni. Hivi kuna watu wanao-import nondo kutoka nje zenye ubora zaidi?
   
 10. E

  ELLET Senior Member

  #10
  Apr 1, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nondo fake zipo,u have to be careful. mafundi wazoefu wanazijua.
   
 11. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  tofauti ya kokoto nyeusi na nyeupe ktk uimara ni nini?kwa jengo la ghorofa moja la makazi kuna ulazima ganiwa kutumia kokoto nyeusi
   
 12. L

  LAT JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu NM.... kokoto nyeusi zinajulikana kama granite aggregates na kokoto nyeupe zinajulikana kama coral agreggates ..... concrete (zege) huwa designed kutokana na uzito au uimara strength katika matumizi (concrete grade) ...... grade nyingi za structural concrete huhitaji kokoto nyeusi ... kama vile concrete grade 30 C30 AU GRADE 28 hii ni kwa ajili ya slabs, columns, beams and foundation pads and strips ...kokoto nyeupe kama inavyoitwa ubuyu mtaani ni kokoto ambayo haina nguvu na hutokana na mwamba uliokaribu na uwanda wa bahari yaani coral reef na mara nyingi huwa na composition ya chunvi hivyo kutokuwa na mahusiano mazuri sana na cement .... cement ndiyo kiungo kikubwa cha structural concrete members hivyo basi kama cement haitaungana vilivyo pamoja na kokoto, mchanga na nondo hilo jengo halitakuwa imara .... kukoto nyeupe hutumika kama zege chafu (blinding) na zege ambalo halihitaji reinforcement (nondo) yaani plain concrete

  @mazingira ... kwa ujumla tofali unalouliza ni vibrated concrete block .... hili utalipata kwa supplier anayetengeneza tofali 25 mpaka 28 kwa kutumia mfuko mmoja wa kilo 50 za cement lililofanyiwa curing ( kumwagiwa maji ) kwa siku saba ... hivyo basi kuwa na TBS ya kiwango cha 3.5-5KN (kilo newtons)
   
 13. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Mazingira u as client hustahili kurecomend strength ya material so far kuna watu maalum kwa ajili hiyo...kwani Eng aliyekufanyia calculation kwenye structure hakusuggest aina ya aggregate unazostahili kutumia! Pia suala la nondo si kununua tu kwa hisia ni lazima kutumia wataalam kulingana na jengo lako kwa kua kuna Mild steel na High Tensile ambazo zote hutumia kulingana na maelekezo ya Eng!
   
 14. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  asante sana,umenifumbua macho,nina kiwanja ila ni kidogo 650 sq,meters hivyo nina plan kuweka floor moja juu ili nibaki na nafasi ya kutosha watoto kucheza,car park etc.
  hizi kokoto nyeupe ni rahisi sana kwangu kuzipata ziko karibu,ila kuna jamaa alikuwa akisema ni muhimu kupata kokoto nyeusi(he is a tipper driver)kutoka chalinze,swala likaja ktk bei yake,iko juuu mno.
  kwa ushauri wako inaonekana hamna jinsi ya mbadala wa kujenga slab/floor kwa kutumia kokoto nyeupe,
  mbona maghorofa ya wakoloni yapo mpaka leo,na walitumia chokaa na kokoto nyeupe e.g Daresalaam city council
   
 15. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #15
  Apr 2, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Pia naambiwa kuwa huko Vijibweni, Kigamboni kuna kokoto nyekundu ambazo ni imara sana pia ukilinganisha na nyeupe. Sijui wataalamu wanatushauri vipi hapo.
   
 16. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #16
  Apr 5, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Manyusi, bei hii ya nondo ni zile zinazotengenezwa Tanzania au za kutoka nje ya nchi?
   
 17. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #17
  Apr 6, 2011
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu huyu engineer wangu anaonekana tapeli fulani hivi na sasa simwamini tena ndo maana sasa nimeamua nitafute ushauri kwa wataalamu kama wewe hapa.
   
 18. a

  atlwindows Member

  #18
  Apr 12, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama unahitj. madirisha na milango za PVC (mostly used in ENGLAND of white colour)
  send email for quote
  info@aqeel.co.tz
   
 19. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #19
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu ubora wake ukoje? Yaani yaweza kudumu kwa miaka mingapi kabla ya kuabdilisha?
   
 20. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #20
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Samahani kuna mtu ambaye anaweza kujua nondo za size 12 zitakuwa ngapi ktk tone moja? ili kuweza kukukisia labda nahitaji nondo 100 size 12 ninunue tone ngapi?
   
Loading...