Vifaa vya mgahawa bei poaaaa!!!!

aghassany

Member
Joined
Oct 9, 2011
Posts
57
Reaction score
1
WAKUU,

Nimefunga mgahawa wangu na ninauza vifaa kama vifuatavyo na vimetumika miezi 6. List ni kama ifuatavyo:

1. GAS GRIDDLE 3 BURNER
2. GAS GRIDDLE 2 BURNER
3. FRYER
4. ORYX GAS TOP COOKER
5. COMMERCIAL EXHAUST FAN
6. WALL FAN
7. FRIDGE WITH FREEZER
8. OPEN WELCOME LED LIGHT BOARD
9. KILL PEST
10. TABLE.

NAUZA VITU VYOTE KWA PAMOJA BEI: 3M

NI PM KAMA UNAHITAJI NA UKO SERIOUS.
 
Attachments

  • 05122011409.jpg
    230.8 KB · Views: 283
  • 05122011408.jpg
    274.5 KB · Views: 255
  • 05122011407.jpg
    297.8 KB · Views: 227
  • 05122011406.jpg
    284 KB · Views: 201
  • 05122011405.jpg
    301.9 KB · Views: 227
  • 05122011410.jpg
    387 KB · Views: 235
  • 05122011411.jpg
    334.8 KB · Views: 209
  • 05122011412.jpg
    405.6 KB · Views: 265
  • 05122011413.jpg
    316.9 KB · Views: 210
  • 05122011418.jpg
    392.6 KB · Views: 194
  • 05122011419.jpg
    322.5 KB · Views: 190
  • 05122011420.jpg
    393 KB · Views: 212
  • 05122011421.jpg
    393 KB · Views: 190
  • 05122011422.jpg
    427.3 KB · Views: 185
Naona mumekomaa. Haya na hii mushindwe 2.3 M for everything...
 
Bei yako iko juu sana, china kitchen set ya restaurant ndogo unapata for $ 3,000 na hapo kunakuwa na vifaa vingi sana included, hivi vifaa vyako hata $ 600 haifiki.
 
Hapa tuko bongo sio china. Nenda ulizia hivo vifaa hapa wanauzaje...
 
Mkuu uko wapi-mkoa? Dooh hapa ukiuza kitu JF inabidi uwe na roho ngumu kama ya paka unaweza kutukana bila kukusudia!
 
Tarehe 5/12 ulianza hivi, angalia RED

Baada ya siku moja yaani tarehe 6/12 ukaja na hii

Naona mumekomaa. Haya na hii mushindwe 2.3 M for everything...

For less than 12hrs ulikuwa unataka kuwaibia watanzania wenzako takribani sh. laki saba 700,000.

Vifaa vyako gharama yake si zaidi ya million moja na laki mbili 1,200,000, otherwise endelea tuu na restaurant yako
 
Silence is a good answer or a F***.... Kama unaona nilitaka kuwaibia hayaa... njoo uone risiti nilivonunulia mimi alafu utajua kama nimetaka kuwaibia au vp... Anyways anaetaka atanunua asietaka basii hatulazimishani hapa...
 
Scan receipt uiweke hapa ili umtoe jamaa nishai....mimi nina 1.3M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…