Vifaa vya kijeshi vya Kimarekani

Vifaa vya kijeshi vya Kimarekani

Hawa jamaa kuwafikia ni safari.

Wenyewe wanasema haijawahi kutokea jeshi lenye nguvu duniani kama la Marekani katika history ya dunia

Yametokea majeshi mengi sana ktk historia ya dunia kama waajemi, waamedi, warumi, wamisri, lakini jeshi la USA ndo jeshi lenye nguvu katika historia ya dunia.

Ni kweli check hilo dude hapo

View attachment 2884637
Hyo picha ni photoshop hyo b52 inachukua eneo kubwa sana mpk ipae hapo haiwezekani hata siku moja halafu hzo carrier sio km russia hawezi kutengeneza hila ni risk zaidi labda upambane na nchi ambazo hazina technology kubwa ya makombora lakini hapo ikipgwa iskander moja wote wanazama na meli zao
 
Hawa jamaa kuwafikia ni safari.

Wenyewe wanasema haijawahi kutokea jeshi lenye nguvu duniani kama la Marekani katika history ya dunia

Yametokea majeshi mengi sana ktk historia ya dunia kama waajemi, waamedi, warumi, wamisri, lakini jeshi la USA ndo jeshi lenye nguvu katika historia ya dunia.

Ni kweli check hilo dude hapo

View attachment 2884637

Hii ni photoshop mkuu, iyo B52 haiwezi bebwa ktk meli, ni ndege kubwa sana na ili ipae au kutua inataka eneo kubwa mno, alafu russia alishasema meli kama hii ni hasara sana kuiunda, maana inaweza pigwa hypasonic moja tu ikazama, ikaua wanajeshi lukuki, hasara ya ndege kuzama, hasara ya kukiunda hicho chombo

Faida ya hili ni kupigana na either iraq, afghastan, libya, syria, houths ila ukipigana na nchi yenye high technology inazamishwa kwa kombola moja tu
 
Moja ya ndege ya kipuuzi ni hiyo B52 kwanza ni kubwa zito halina monuverbility yeyote
 
Kama somalia na Afghanistan
Yes

USA hapigani vita kwenye aridhi yake au kupigana Direct

Atatumia NATO, UN, Nchi washirika, Waasi au kikosi kidogo tu cha wajeda wake kuendesha operations kama vile alifanya Somalia

Swala la nani MSHINDI ni issue nyingine mtambuka sana
 
Moja ya ndege ya kipuuzi ni hiyo B52 kwanza ni kubwa zito halina monuverbility yeyote
Teknolojia inazidi kukua sana siku hizi
Ndege zinaendeshwa na mitambo tu bila rubani

Hata hivyo hizo bado zinatumika kwa wanamgambo wasio na vifaa vya kisasa
 
Halafu anashindwa,😃
Kushindwa au kushinda ni swala subjectieve
Siku hizi hawapigani vita ili kushinda na kuikalia nchi kimabavu kama anavyotaka kufanya Russia kwa Ukraine

Siku hizi wanalianzisha kwenye aridhi yako kisha ama wanamuweka mtu wao au wanawagawanya na kuwaacha mnaendelea kuchapana milele
 
Hawa jamaa kuwafikia ni safari.

Wenyewe wanasema haijawahi kutokea jeshi lenye nguvu duniani kama la Marekani katika history ya dunia

Yametokea majeshi mengi sana ktk historia ya dunia kama waajemi, waamedi, warumi, wamisri, lakini jeshi la USA ndo jeshi lenye nguvu katika historia ya dunia.

Ni kweli check hilo dude hapo

View attachment 2884637
Nakala iwafikie TUJITEGEMEE Gagnija lee Vladimir cleef T14 Armata Bwana Utam MK254

Japo hiyo picha sio ya ukweli, hakuna carrier ya kubeba bombers kubwa hivyo.
 
Hawa jamaa kuwafikia ni safari.

Wenyewe wanasema haijawahi kutokea jeshi lenye nguvu duniani kama la Marekani katika history ya dunia

Yametokea majeshi mengi sana ktk historia ya dunia kama waajemi, waamedi, warumi, wamisri, lakini jeshi la USA ndo jeshi lenye nguvu katika historia ya dunia.

Ni kweli check hilo dude hapo

View attachment 2884637
Sidhani kama ndio jeshi lenye nguvu sababu hakuna kipimo, yaani kwa miaka ya sasa hivi kila jeshi likionesha nguvu na uwezo wake kwenye vita dunia inafikia mwisho wake pana kuwa ni lose-lose hakuna mshindi so comparison ni useless
 
Yes

USA hapigani vita kwenye aridhi yake au kupigana Direct

Atatumia NATO, UN, Nchi washirika, Waasi au kikosi kidogo tu cha wajeda wake kuendesha operations kama vile alifanya Somalia

Swala la nani MSHINDI ni issue nyingine mtambuka sana
Inaelekea hujui historia ya jeshi la marekani Ila unajitia kujua
 
Hawa jamaa kuwafikia ni safari.

Wenyewe wanasema haijawahi kutokea jeshi lenye nguvu duniani kama la Marekani katika history ya dunia

Yametokea majeshi mengi sana ktk historia ya dunia kama waajemi, waamedi, warumi, wamisri, lakini jeshi la USA ndo jeshi lenye nguvu katika historia ya dunia.

Ni kweli check hilo dude hapo

View attachment 2884637
B 52 haiwezi ruka wala kutua kwenye Carrier usiwe unadanganywa na fotoshop kama mtoto[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hawa jamaa kuwafikia ni safari.

Wenyewe wanasema haijawahi kutokea jeshi lenye nguvu duniani kama la Marekani katika history ya dunia

Yametokea majeshi mengi sana ktk historia ya dunia kama waajemi, waamedi, warumi, wamisri, lakini jeshi la USA ndo jeshi lenye nguvu katika historia ya dunia.

Ni kweli check hilo dude hapo

View attachment 2884637
Wakisikia Wagner wapo mpakani mwao basi wote watakimbia na machuma chuma yao hayo watayatelekeza.

Afghanistan wameingia ukoo mzima ila mwisho wa siku wamekimbia.

Mwanaume kaingia Syria peke yake mpaka leo hii Assad yupo na Islamic state haisikiki tena.

Hapo hakuna jeshi bali ni jeshi la mashoga
 
Hio aircraft inazamishwa na drone za $5,000 😂😂🙌🏿. Hizo toy ukipelekea nchi yenye uwezo haitoboi inakuwa majivu
 
Jeshi imara mshahara na benefits nyingine kwa Askari haifiki dollar5000..mshahara ni dollar 2000.. housing benefits ni 1800..na meals ni dollar 300..
 
Back
Top Bottom