Vifaa vya kijeshi vya Kimarekani

Vifaa vya kijeshi vya Kimarekani

Wewe ni muislamu na siyo muafrika??
Uislamu wako unasema tofauti na ukristo katika uumbaji??
Sijui ukiristo unasemaje. Lkn uislam unasema wewe na mimi tumeumbwa kutokana na manii yalioza na kunuka. Asili yetu ni udongo
 
Hyo picha ni photoshop hyo b52 inachukua eneo kubwa sana mpk ipae hapo haiwezekani hata siku moja halafu hzo carrier sio km russia hawezi kutengeneza hila ni risk zaidi labda upambane na nchi ambazo hazina technology kubwa ya makombora lakini hapo ikipgwa iskander moja wote wanazama na meli zao
Haaaa
 
Sijui ukiristo unasemaje. Lkn uislam unasema wewe na mimi tumeumbwa kutokana na manii yalioza na kunuka. Asili yetu ni udongo
Historia ya kale inasema, Anunaki walivyokuja duniani waliwakuta viumbe (binadamu) katika form ya homoeructas (nyani/sokwe). Wakawafanyia genetic manipulation kwa kutumia DNA zao, akapatikana binadamu wa leo (homosapiens)
 
Hiyo B-52 inaweza kufanya kazi vitani kama US anapigana na Gambia, Lesotho, visiwa vya Tuvalu, Vanuatu, Fiji etc na midege Kama hiyo muda si mrefu yatabidilishwa matumiz eg kubebea maparachichi lakini hizi siyo enzi za kubeba bomu na kulipeleka Kwa mwenzzio ukalidondoshe kama embe labda kama unapigana na hao niliowataja hapo juu.
 
Nakala iwafikie TUJITEGEMEE Gagnija lee Vladimir cleef T14 Armata Bwana Utam MK254

Japo hiyo picha sio ya ukweli, hakuna carrier ya kubeba bombers kubwa hivyo.
Tayari mtoa mada ameshaanza kukosolewa kwa picha ya uongo.

Pili sio kweli kwamba USA haifikiwi kwa silaha,Bali Kila nchi katika nchi kubwa imemzidi mwenzie kwenye aina Fulani ya silaha.

USA kama ana silaha nyingi,ama Kali,ama Bora,lkn ndio moja ya nchi kubwa inayoongoza kwa kushindwa katika vita.
Ilipigwa Vietnam na somalia na watalabani waliifanya ikaacha Hadi maelfu ya silaha.

Hata hivyo kwani Kuna ubaya Gani Kwa USA kuongoza kwa silaha?
Shida ni kua na silaha halafu anazitumia kuonea mataifa dhaifu.
 
Back
Top Bottom