Mkwaruzo
JF-Expert Member
- Feb 21, 2011
- 563
- 98
Habari zenu wapendwa na wapenzi wa jamvi hili. Kuna kitu kidogo nimekiona katika jukwaa hili hivyo nimeamua kukiweka hapa ili kujuwa ni kwa nini kinatokea. Naamini jamvi hili linapendwa na wengi hasa kwa kuona view nyingi katika kila post, lkn ni kwanini replie zinakuwa kidogo? Je post zinakuwa chini ya viwango au ni nini hasa kinachosababisha hivi? Au ndiyo vidole vinakosa nguvu za kuandika kutokana na mbavu kuvunjika baada ya kusoma? Replies zinatia moyo jamani...