Marahaba mbona mapema hivyo? Hizo zilikusanywa wapi na hicho kiviwonder kilikuwa cha maziwa au? Tutaona mengi mzimu huu!To you dear sister Shikamoo
Leo nataka nifanye chanting kidogo seven heavens chanting naihitaji sana leo... Baadae dada kumi kamili naanza.Marahaba mbona mapema hivyo? Hizo zilikusanywa wapi na hicho kiviwonder kilikuwa cha maziwa au? Tutaona mengi mzimu huu!
Mwenzio anaamka 5 anameditate for 30 mins ndo ale bf. Nitakutumia picha za chumba chake cha chanting. Hongera. Am very impressed na hicho kitu ila mimi siwezi it is so complicated. Nitawaadmire basi. Una special place pale kwako?Leo nataka nifanye chanting kidogo seven heavens chanting naihitaji sana leo... Baadae dada kumi kamili naanza.
Ndio dada a small tiny room just beside my study roomMwenzio anaamka 5 anameditate for 30 mins ndo ale bf. Nitakutumia picha za chumba chake cha chanting. Hongera. Am very impressed na hicho kitu ila mimi siwezi it is so complicated. Nitawaadmire basi. Una special place pale kwako?
Itakuwa ni maziwa ya mugandoMarahaba mbona mapema hivyo? Hizo zilikusanywa wapi na hicho kiviwonder kilikuwa cha maziwa au? Tutaona mengi mzimu huu!
namuona naibu waziri wa ofisi ya makamu wa rais, muungano na mazingira (Mb) mh. joelson luhaga mpina akikagua mazingira ya hiko ki-wonder
Sasa hivi ni saa moja na nusu asubuhi yupo kwenye mambo yenu.Ndio dada a small tiny room just beside my study room