Vietnam na Halotel v/s Tanzania

boja

Member
Nov 8, 2012
74
189
Katika pita pita zangu na maongezi na watu...niliweza pata ongea na asst manager wa Halotel lakezone side. Alinieleza mengi ila cha ajabu akawa anashangaa sana kwanini nchi yetu ni tajiri lakini bado ni masikini akasema kwa mfano. pesa yetu ni kumbwa ×10 ya kwao ila wameweza wekeza nchi mbalimbali ikiwemo na hapa kwetu...Je sisi tatizo ni nini??
 
Back
Top Bottom