Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,253
- 44,591
Umeelezea vizuri sana sina haja ya kuongezeaHonestly vidumu vina manufaa sana!Ndo ikianza kuvuja unaipeleka kuchomewa huku unaendelea na kidumu chako...kwa vile maji ni uhai wa maisha inabidi uwe na chombo kingine chakuyapatia just incase kile kikubwa kikiwa hakipo either kwasababu kimeazimwa...hukitaki tena au kimeharibika.
Kuhusu matumizi na matunzo kuna unafuu tofauti na nyumba ndogo kwa wanaume au "ndoo" kwa wanawake.Imagine ukubwa wa ndoo...ukiweka maji nusu itapepesuka kichwani...ukijaza italemea!Ila kidumu hata wa mkono unabeba!!
Umeelezea vizuri sana sina haja ya kuongezea
Kidumu kina raha na karaha yake hasa pale unapoenda bafuni kuoga kinakuwa hakitoshi unatoka bafuni na mapovu kichwani ila ukiwa na ndoo yako kubwa akuuuu unaoga kwa raha zako
hahahahahahaha duh we umefunika kabisa, anaoga anaoogelea na asipofanya yote atakuja kuvuka tu kwendaa upande wa pilimhh, wadada mna mambo....kwa bahat mbaya mm ndo mto wenyewe, tena siyo seasonal. wangu hahtaj kidum wala kijiko anaogelea atakavyo na hana haja ya kuhfadh maji pemben
ukimwi utatuua wengi. coz nyumba nyummba ndogo plus kidumu on the other side afu fikiria chain yake inakuwaje. unaweza shangaa inafika mpka kwa binamu yako then inarudi mpaka kwa mamdogo wako. tumekwishaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
mhh, wadada mna mambo....kwa bahat mbaya mm ndo mto wenyewe, tena siyo seasonal. wangu hahtaj kidum wala kijiko anaogelea atakavyo na hana haja ya kuhfadh maji pemben
kidumu kinafanya kazi ndoo inaposhindwa kukamilisha kazi iliyoianza. mfano unaoga kwa bahati mbaya maji ya ndoo yakamwagika; kidumu kitasaidia kuondoa povu.
ndoo inabebwa kichwani kidumu mkononi kwa hiyo uwezekano wa maji ya ndoo kumwagika ni mkubwa kuliko kidumu.
mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
wanawake wa siku hizi hawana haya......kabisaaa
Mhhhhhhhhh???????mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
wanawake wa siku hizi hawana haya......kabisaaa