fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,608
- 7,167
Miaka ya nyuma muda wa kampeni ukifika kwangu ndio ulikuwa muda mzuri mno wa kula vidosho wa kila namna. Nilikuwa nasafiri na misafara ya wagombea ubunge sehemu mbalimbali na ifikapo usiku,aiseee vidosho unachagua unataka ule yupi. Nilikuwa na gari moja hivi niliyopewa na kaka yangu na kuelekezwa kumsaidia nani kwenye kampeni na pesa pia nilikuwa napewa na kuna gharama nilikuwa natumwa kuzilipa kuwasaidia wagombea ambao kaka yangu alikuwa ana urafiki nao.
Nilikiwa nahemea kwenye vikundi vya ngoma, askari polisi, wanasiasa kundi hili ni jepesi mno kuwala na aghalabu huwa wake za watu. Mwaka mmoja ulizuka mgogoro mkubwa maana nilikula bebi wa mtu mmoja mkubwa, ilikuwa dodoma aiseee vagi lilishuka huyo jamaa akaamuru gari langu nililopaki hoteli moja maarafu liondolewe, akamtuma ocd ambae ni mama mmoja hivi,alupokuja akanikuta ni mimi naye nilikuwa nishamla kwa hasira akaniweka ndani
Kaka yangu akaja kunitoa kesho yake na kunionya nisike wanawake za watu.
Basi huu msimu ndio wa kula mademu,ila kwa sasa nimestaafu hizo nguvu za kuvizia mademu sina tena