Vidonge vya typhod: vinaongeza nguvu za kiume

A.K.A.47

Member
Jan 27, 2013
56
0
Kila nikiendaa kwake,rafiki yangu hakosi vidonge vya typhod.

Ikitokea mpenz wake anakuja,jamaa humeza vidonge hivyo.

Nilimuuliza kwann kila wkt hunywa vidonge hivyo,ndo tuseme yy typhod haiponi?

"Vinaongeza nguvu mara dufu wkt wa tendo".Alinijibu rafiki yangu.

Ndg wana jf-doctors,kuna ukeli wowote juu ya madai haya au kuna chemical gani zinazohusiana na hamu zaidi wkt wa tendo?

Nawasilisha kwa michango yenu zaid.
 
snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,136
2,000

Ndg wanajf-doctors,kuna ukeli wowote juu ya madai haya au kuna chemical gani zinazohusiana na hamu zaidi wkt wa tendo?

Nawasilisha kwa michango yenu zaid.
.
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/
.
Hukusoma title ya jukwaa,
C6 unahusika hapa
.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu wa chuo

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
7,291
2,000
ni uongo, tokea lini ma antibiotics yakaongeza nguvu za kiume!? zaidi ya kuchosha mwili na kujihisi mgonjwa tu... ile Cipro itaongeza vipi nguvu za kiume!? nakataa...
 
alphonce.NET

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
799
500
Anachofanya ni kuharibu afya yake ili siku atakapoumwa typhod hizo dawa zisiwe na uwezo wa kumtibu.

Kila nikiendaa kwake,rafiki yangu hakosi vidonge vya typhod.

Ikitokea mpenz wake anakuja,jamaa humeza vidonge hivyo.

Nilimuuliza kwann kila wkt hunywa vidonge hivyo,ndo tuseme yy typhod haiponi?

"Vinaongeza nguvu mara dufu wkt wa tendo".Alinijibu rafiki yangu.

Ndg wana jf-doctors,kuna ukeli wowote juu ya madai haya au kuna chemical gani zinazohusiana na hamu zaidi wkt wa tendo?

Nawasilisha kwa michango yenu zaid.
 
gorgeousmimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
8,851
1,500
sio kweli haviongezi nguvu za kiume!isije kuwa anakulaghai wewe anatumia viagra au cialis lol
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom