Mi najua hizi ila sio za fertility bali zitaufanya mji wako wa mimba uwe tayari na afya tele kwa ajili ya kubeba mimba, pia utazaa mtoto mwenye afya, Unatakiwa utumie supplements za vitamins (prenatal vitamins) miezi mitatu Kabla hujashika mimba, na uendelee nazo mpaka mpaka mwisho, zipo za Kabla ya mimba, baada ya mimba na zipo pia za wakati wa kunyonyesha, kama ulikaa muda mrefu bila kubeba ujauzito Vit E itahitajika pia. Kila la heri