M.COLLINS
Member
- Jan 15, 2013
- 18
- 7
Dawa zipo kibao, zipo za vidonge na chewing gum, unataka kujaribu wa kukukuna yupo? kama anaweza kuku kuamsha muwasho wako kwa nini utumie dawa, huoni kwamba natural is better, maana unaweza kuwa addicted kwamba huwashwi mpaka unywe dawa... kama unataka kujaribu tu ni PM ntakuelekeza pa kuipata
Aisee nijulishe hizo dawa.