Vidonge au gel za kutekenya na kumtia ashki mwanamke?

Vidonge au gel za kutekenya na kumtia ashki mwanamke?

aisee, tuna mawazo very constructive these days... anyway, ukichanganya pilipili na ugoro waweza pata a local concoction yenye similar effects

Haapo chacha! Una-sniff; unakunywa; ama unaipaka ile habar?
 
Dawa zipo nyingi za aina hiyo ila sijui hapa bongo zinapatikana wapi ughaibuni kibao yaani labda kama kuna sex shop hapa bongo utapata.
 
Haapo chacha! Una-sniff; unakunywa; ama unaipaka ile habar?

anayetaka kutekenywa inabidi aipake kule 'downville' halafu asikilizie shughuli yake... mwenyewe atautafuta mshedede ulipo
 
Nataka kujiwekea mwenyewe, niwashwe!
 
aisee, tuna mawazo very constructive these days... anyway, ukichanganya pilipili na ugoro waweza pata a local concoction yenye similar effects

Zakuambiwa changanya na za mbayuwayu.
 
Hizi mambo zipo ndio...kuna bwana mmoja namfahamu yeye anawapa Chewing Gum then wala haangaiki...na anaziagiza kutoka Uingereza.
 
Ni aibu mwanaume ashindwe kupata demu na nguvu zake mwenyewe aanze kutumia madawa
 
Jando everywhere including usukumani. Kwani jando ni nini zaidi ya kuwa taasisi ya kufundisha mambo ya ukubwani? Tofautisha jando na kutahiri au kukeketa kama mlivyozoea.
 
Back
Top Bottom