isaack kalinga
Senior Member
- Jun 5, 2017
- 162
- 47
Tumia antfangus
hujazama muda mrefu!!! kumbe huwa unazama? siyo lazima upate madhara kesho yake inawezachukua muda kujitokeza tatizo. "incubation period"Sidhani kama ndio sababu maana sijazama chumvini mda mrefu
wapi?Nilionana na specialist lkn sijaona mabadiliko mkuu
unamaanisha nn?Omba kupimwa vipimo vyote vya damu
we mpe ushauri apone huu siyo muda wa kulaumiana tatizo limeshatokea.Tatzo sie Africans we adapt western culture for instance kunyonya sehm za kike, unaweza ukazani na sawa but sio tabia nzuri,ambae hajawahi kupata tatzo atakataa na atasema ni vzr ila kwa waliowahi kuonja ubaya wake hawawezi kurudia
Let us avoid western vulture which demolize our own betterment
Ushauri
Nenda hospital and tell them the reality of its background
Bado hujamsaidia hapo!!Una maambukix ya kinywa
Aiseee changamka Kaka siku cancer zinaanzaga hivyo hadi zinatapakaa fanya harakaNatumai muwazima nyote,nimekuwa nikisumbuliwa na vidonda vya koo kwa mda wa miezi 4 nimejaribu dawa nyingi bila mafanikio na ilianza kama mafua lkn kwa naona vidonda vinazidi kutapakaa kwenye tissue ya koo naomba dr munisaidie,hospital nimenda lkn bado naumwa.
![]()
Haujasoma hadi mwisho,jitahidi uwe unasoma hado mwisho ndgwe mpe ushauri apone huu siyo muda wa kulaumiana tatizo limeshatokea.
Oky kumbe ulishawahi zama chumvini ila kwa hivi karibuni ndio hujazama....nenda hospital waeleze kuwa wew ulishawahi zama chumvin dawa yake ipoSidhani kama ndio sababu maana sijazama chumvini mda mrefu
Hospital mkuuwapi?
Naelewa mkuu lkn yote nikatika hali yakutafuta Dawa itakayo nisaidia maana napata shida sanaNadhani umetumia dawa isiyo sahihi ndio mana imechukua muda mrefu hivyo.
Ni vyema ukapimwa kwanza ili kujua sababu ndipo upewe tiba, haya madawa nayo ukila mengi unaweza jikuta unaongeza tatizo badala ya kutatua.
Wacha nitajaribu mkuu maana mpaka sasa sauti yangu INA shida na masikio pia wakati mwengine yanaumaAtumie nystatin syrupy awe anachukuchua kwa siku 7na acyclovir200mg tablet 4times for 5days
Ukienda kusema hvyo hospitali wenyewe wanajua..unamaanisha nn?
mkuu kulingana na maelezo yako hapo juu nimekusoma ila sijaelewa rational behind combination ya septrin + azithromycin ,sijui what do you target ?Huenda vidonda vyako vikawa ni maambuz ya virus bacteria au fangas
.
Kwa vinatokea kwa maambuz ya virus huwa vinapona vyenyew na havihitaj dawa zaid ya ant pain
.
Vinavyotokana na bacteria hv huwa severe na vinachkua mda sana kupona na vinahitajoli antibiotic ili vipone kabisa... Kutokuvitibu vikapona kabisa vinaweza kukusababishia shida kwny moyo (rheumatic heart disease)
.
Vinavyotokana na fangas ni Mara chache sana kutokea
.
Kuna ambavyo vinaanzishwa na fangas au virus lkn bacteria wanakuja kuvamia baadae na kufanya hali kuwa mbaya zaid
.
Kuwa na kiungulia mara kwa mara pia inaweza kusababshwa na ile tindikali ya tumbon inayopanda kooni
.
Dalili ya saratan ya koo inayoletwa na human papiloma virus wanaoambukizwa kwa njia ya kuzama sana chumvin na longterm smoking habit
.
Uzoefu wng unaniambia utakuwa na maambuz ya bacteria yaliozuka baada ya virus/fungas na kwakuwa umeshatumia dawa kadhaa pasipo mafanikio hvyo nakushauri utumie dawa zaid ya moja kwa muda usiopungua siku14
.
Antiseptic mouthwash d1-d14
Septrin d1-d14
Azithromycin 500mg d1-d7
Nystatin (p.o) d8-14
d=(day/siku)
.
Nina uhakika 90% utapona na usipopona nenda kwny hospitali yenye competent pathology laboratory wakuchkue sample wakapime
Ulipozama ndipo ulipata hizo fungus acha hiyo kitu ni hatari na k za wenzetu zina mengiSidhani kama ndio sababu maana sijazama chumvini mda mrefu