chacha mwewe
Member
- Sep 23, 2016
- 54
- 28
Natumai muwazima nyote,nimekuwa nikisumbuliwa na vidonda vya koo kwa mda wa miezi 4 nimejaribu dawa nyingi bila mafanikio na ilianza kama mafua lkn kwa naona vidonda vinazidi kutapakaa kwenye tissue ya koo naomba dr munisaidie,hospital nimenda lkn bado naumwa.