Vidonda visivyo vya kawaida kwenye uume

Kichwa kinajiekeza.

Ndugu zangu wiki mbili zilizopita nilijiona kitu cha tofauti kwenye kichwa cha uume wangu kwanza ulianza kama mwasho sana basi nikawa najikuna sana kadri nikijikuna nasikia raha, nikajua ni kawaida tu, then next three days nikawa napata kama michubuko kwenye kichwa tu nikajua labda ni mabadiliko madogo tu kwenye mwili.

Sasa kilichonifanya kuandika uzi huu nikaona vipele vinakuja mbele ya kichwa cha dudu sijajua chanzo ninini maana nimeoa na sijatoka nje ya ndoa. Imefanya nishindwe kufanya mapenzi na mke wangu kwa wiki tatu sasa.

Hospitali sikwenda ila nilienda pharmacy attendant akasema yawezekana mitumba tunayovaa nikaona sio sababu sahihi, kuna dawa nikapewa napaka sehemu zenye matatizo tu je yaweza kuwa ninini hasa wataalamu?

Magonjwa ya ngono sina kabisa
wahi hospital baada ya wiki huo uume utafikia kg1 na utatembea na kanzu
 
Sisi ma dr tunapata taabu kutibu watu kama mleta mada hivi unataka kupona au?

Umeshindwa nini kuweka hata picha ya kichwa cha dushe?
Yaan unaumwa afu una aibu? Nani kakudanganya jf ukiweka hicho kichwa kilicho na vipele utapigwa block?

Weka kichwa hicho hapa tukione kimepata shida kiasi gani ndo tutoe dawa. Mambo ya kukisia hapana.
 
Ungetupia kapicha kidogo ili wataalam waone muonekano wa hivyo vipele, ila ungeenda hospitali kufanyiwa vipimo ili ijulikane kama ni ukurutu tu wa kawaida ama ni magonjwa ya bacteria ambayo inaweza kuwa kaswende ama ya virus ambayo inaweza kuwa herpes simplex-2.
 
Hizo ni SCABIES mkuu mara nyingi inawapata watu wanaokaa kwenye mazingira kama magerezani, shule za boarding na maeneo mengine yenye mkusanyiko wa namna hiyo.

Njia kubwa ya maambukizi ni jasho so kushare na mtu nguo, shuka, kitanda na vitu vya namna hiyo kunaweza pelekea kupata maradhi hayo.

Kuna haina nyingi ya dawa ambazo zinaweza tibu maradhi haya nazo ni SCABOMA,PERMETHRIN CREAM, STROMECTOL,CROTAMITON.
Ukianza kutumia dozi hakikisha unafua nguo zako zote kwa maji ya moto hili kuua vijidudu vyote kwenye nguo hizo.

KWA MAELEZO ZAIDI TEMBELEA HOSPITAL ILIYO KARIBU NAWE.
 
Hujaenda hosp alafu huna magonjwa ya zinaa

Mara huchepuki..kama mkeo ndio kakuletea??

anyway kama unajua unachepuka au mkeo mchepukaji

Azithromycin 1g kunywa mara moja tu

Acyclovir 400mg unywe kila baada ya masaa 8 kwa siku 10 tu

Choma Sindano ya Benzathine penicillin 2.4MU ... ( kila tako utachomwa 1.2MU) mara moja tu.

KAMA HUCHEPUKI NA MKEO HACHEPUK

Nunua ...." BBE" ..pakaa eneo lote liloathiriwa paka asubuh...Jion...... Inawasha lkn utapona.
We ndugu ni Wa faida mana umefanya kiroho safi tu kwa sababu inaonyesha umetumia taaluma yako kumsaidi/ kusaidia for free! Wengine wangeanza kumwita jamaa inbox!
 
Weka picture kwa msaada zaidi tukusaidie. Kuna vipele vingine vinatibika kwa tube tajajuaje Kama Ndo hivyo Au siyo tukuelekeza dawa
 
Hiyo ni kaswende kama wewe hujawai toka nje ya ndoa yako badi mkeo katoka na kakuletea hiyo kitu ni hatari wahi hospital na lazima mkeo pia apate dozi sawa na uatakayopata wewe.
Msiingize ndoa za watu kwenye mifarakano kwa mawazo ya kuhisi.
 
Back
Top Bottom