sidhani kufikri kuwa vita vya Kagera ndo jambo la kututesa kiuchumi kwa miaka yote hiyo. ulazima wa kuingia vitani ulikuwepo na tulishinda kwakukomboa kagera iliyotekwa na mnyama huyo, kwakuwa vitu vilitumika ni jambolilo wazi kuwa lazima kuzalisha pengine kikwazo cha maendeleo ni kutokuunga kwa dhati mikakati ya kuinua uchumi wetu, watu wanaweza kukwamisha kwa makusudi sera na mipango ya maendeleo kama hiyo ya kilimo cha kufa na kupona siasa ni kilimo ilibaadaye waendelee kulaum na kuhoji kulikuwa na ulazima wa kupigana hali wakijua kuwa Id Amin alikwisha sema atsafisha njia hadi Dar. vitavilipiganwa tena kwa muda mfupi kuliko muda tulioishi na tunaendelea kuishi, sasa kama tulishinda vita kwa muda mfupi kwanini tusifufue uchumi wetu kwamiaka yote hiyo? tufanyeni kazi kwa kujituma kama vile vijana wawakati huo walipvyofanya kazi ya kutupa uhuru, tukizembea na kuendelea kuwaza Kagera war ndo mchawi na kuwaza kuibia kwa ujanjajanjahapana maendeleo hakuna. wapo vijana wanafanya kazi tena kwa nguvu hata hawatiki kufikiri ya kagera ila wanahitaji msaada wa mawazo ya wasomi na matumizi ya teknolojia pamoja na mbinu za uongezaji tija katika uzalishaji mali. tuzungumuze hayo na nchi itaendelea, chukulia mfano mchimbaji mdogo wa madini ya dhahabu alivyo na juhudi kuyatafuta madini hayo, tene kwa vifaa duni ndo utagundua tatizo la uchumi wetu liko katika njia tunazotumia kuzalisha mali.